Ahadi 15 za Rozari Takatifu

Tumsifu Yesu Kristu…

Karibu tena katika Website yako uipendayo ya Wakatoliki yenye mambo mengi kuhusu Imani na Mafundisho ya Kikatoliki. Kama una wasiwasi kuhusu Imani ya Kanisa Katoliki nimekuandalia makala maalumu ya kukufunulia Ukweli hapa>>.

Mpendwa Msomaji, baada ya kukuandikia makala nzuri inayopendwa kuhusu; Kanuni za kuishi maisha ya ushindi na baraka, kwa sasa nimekuandalia makala hii kuhusu;

Ahadi 15 za Rozari Takatifu.

Unaweza pia kupokea makala zote mpya zinazopostiwa hapa kwenye email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo.

Endelea kuelimika na kubarikiwa kila siku unapotembelea tovuti hii.

Ahadi 15 za Rozari Takatifu

By, Melkisedeck Shine.

Mama Bikira Maria alitoa ahadi 15 kwa yule au wale watakaosali Rozari takatifu kila siku. Ahadi hizi aliwapa Mtakatifu Dominic na mwenye heri Alan de la Roche.
οΏΌ

1. Yeyote yule atakayesali kwa imani rozari hii takatifu atapokea neema kuu zenye nguvu

2. Naahidi ulinzi wa kipekee na neema za kipekee kwa yule atakayesali rozari hii

3. Rozari itakuwa silaha kubwa dhidi ya nguvu za kuzimu, itaharibu maovu, itapunguza dhambi na kushinda kutofautiana

4. Itafanya fadhila kukua, kazi nzuri kuongezeka, itapatia roho huruma tele toka kwa MUNGU, itaondoa hamu ya wanadamu kupenda mambo ya dunia na majivuno yake na kufanya wapende zaidi mambo ya mbinguni. Ooh, ni kwa namna gani roho hizo zitajifurahisha na kubarikiwa kwa namna hii.

5. Roho zitakazojikabidhi kwangu kwa njia ya kusali rozari, kamwe hazitapotea.

6. Yeyote atakayesali rozari kwa uaminifu huku akiyatafakari matendo makuu ya rozari, kamwe hatashindwa na ubaya. MUNGU hatamwadhibu katika hukumu yake, hatapotea katika kifo asichopangiwa na atabaki katika neema za MUNGU na kustahili kupata uzima wa milele.

7. Yeyote atakayekuwa mwaminifu katika kusali rozari, kamwe hatakufa bila ya kupokea Sakramenti takatifu za Kanisa.

8. Wote watakaokuwa waaminifu katika kusali rozari watadumu katika mwanga wa MUNGU katika maisha yao na saa yao ya kufa na kupata neema zake tele; katika saa yao ya kufa watashiriki fadhila za watakatifu waliopo peponi

9. Nitawatoa toharani wale wote waliokuwa waaminifu katika kusali rozari

10. Watoto wangu waaminifu katika kusali rozari watapata fadhila kuu ya utukufu Mbinguni.

11. Utapata yale yote unayoniomba kwa kusali rozari

12. Wote wale wanaoeneza rozari hii takatifu nitawasaidia katika mahitaji yao

13. Nimepata toka kwa mwanangu Mtukufu kuwa mawakili wote wa rozari takatifu watapata
waombezi toka baraza lote kuu la Mbinguni wakati wa maisha yao na wakati wa saa yao ya kufa.

14. Wote wanaosali rozari hii takatifu ni wanangu, na kaka na dada wa mwanangu wa pekee YESU KRISTO

15. Ibada kwa rozari takatifu ni ishara kuu ya kuelekea ukombozi

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Ahadi 15 za Rozari Takatifu. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Ahadi 15 za Rozari Takatifu, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

β€’ Ahadi 15 za Rozari Takatifu, isome hapa

β€’ Tafakari ya leo ya Katoliki kuhusu Mawazo na Mipango ya Mungu kwa mtu, isome hapa

β€’ Mungu akipanga kukuinua hakuna anayeweza kukushusha, isome hapa

β€’ Imani ni cheti cha Kuweza kupata yote, isome hapa

β€’ TAFAKARI YA MAISHA: Vile unavyobariki, ndivyo unavyobarikiwa, isome hapa

β€’ Maana ya Kuabudu kwa Mkatoliki, isome hapa

β€’ Jifunze kitu Kwenye mfano huu kuhusu Maombi na kuomba, isome hapa

β€’ Biblia inatuambia nini kuhusu pombe?, isome hapa

β€’ Kujikabidhi Kwa Yesu Kristu Yeye Aliye Mwangaza Wa Maisha, isome hapa

β€’ Vitu 7 katika maisha ambavyo huwezi kuvibadili hadi ubadili, isome hapa

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Kutubu ndio njia pekee ya kumrudia Mungu. Toba ya kweli ndiyo iletayo maondoleo ya dhambi. Ukiondolewa dhambi unaimarishwa na kufanywa mya. Tubu usamehewe na kufanywa mpya."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Ahadi 15 za Rozari Takatifu, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Ewe Mama Uliyeumbwa
[WIMBOPA.gifπŸ‘‰] Kwa Neema ya Mungu
Dismas-Mtakatifu.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Dismas Mtakatifu.
Soma zaidi kuhusu Dismas Mtakatifu hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

.

IMG_20180108_171540.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mungu ni mwenye Huruma. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!