Blog kwa Wakatoliki

Mpangilio wa kurasa Kwa Wakatoliki ndani ya AckySHINE

|| HOME || MAKALA || TAFAKARI || SALA || MAFUNDISHO || MIUJIZA || WATAKATIFU || NYIMBO || PICHA ||

.

๐Ÿ‘‰ Makala mpya kwa sasaโœ…

Makala/post mpya za kikatoliki

Included page "clone:jinsi" does not exist (create it now)

pope-smiley-emoticon.gif Nifunge nini Kwaresma? Mambo ya kufunga kipindi cha Kwaresima

pope-smiley-emoticon.gif Maana kamili ya Kwaresma

pope-smiley-emoticon.gif Sala za Ibada ya Njia ya Msalaba | Kwa siku za Ijumaa Kwaresma na Ijumaa Kuu

pope-smiley-emoticon.gif Ijue Ishara ya Msalaba

pope-smiley-emoticon.gif Maana ya siku ya Jumatano ya Majivu

pope-smiley-emoticon.gif Mambo ya kufahamu katika kipindi cha kwaresima

pope-smiley-emoticon.gif Historia Fupi ya Ibada ya Rozari

pope-smiley-emoticon.gif Kwa nini Wakatoliki wanaungama dhambi kwa Padri?

pope-smiley-emoticon.gif Maelezo kuhusu Ekaristi Takatifu

pope-smiley-emoticon.gif Faida ya kuabudu Ekaristi Takatifu

pope-smiley-emoticon.gif Chini ya Uongozi wa Kanisa Katekisata anafanya Kazi gani?

pope-smiley-emoticon.gif Mkusanyo Sheria Kanuni za Kanisa unaelezaje kuhusu Makatekista?

pope-smiley-emoticon.gif Waraka wa Baba Mtakatifu Unatafsiri vipi Makatekista?

pope-smiley-emoticon.gif Katekista ni nani?

pope-smiley-emoticon.gif Wito wa Katekista ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Nadhiri ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Hatua za maisha ya kitawa ni zipi?

pope-smiley-emoticon.gif Mwenye kusikia mvuto wa kuingia Utawa afanyeje?

pope-smiley-emoticon.gif Mashirika ya Kitawa yapo mangapi?

pope-smiley-emoticon.gif Ubikira au Usafi kamili maana yake ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Asili na matumizi ya Neno "AMINA" kama kiitikio muhimu katika Liturujia

pope-smiley-emoticon.gif Utii wa kitawa ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Ufukara wa kitawa ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Yapo makundi mangapi ya Kitawa?

pope-smiley-emoticon.gif Watawa hujishughulisha na mambo gani?

pope-smiley-emoticon.gif Kwa njia ya watawa Kanisa linaonyesha nini mbele ya watu wote?

pope-smiley-emoticon.gif Mtaguso Mkuu unasema nini kuhusu kusudi la maisha ya Utawa?

pope-smiley-emoticon.gif Mashauri ya Injili ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Utawa ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Sikukuu Kubwa Kupita zote Katika Kanisa ni ipi?

pope-smiley-emoticon.gif Kipindi cha Mwaka ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Kwa nini Jumapili inapaswa kuitwa siku ya Bwana au Dominika?

pope-smiley-emoticon.gif Siku za Dominika Kanisa huadhimisha nini?

pope-smiley-emoticon.gif Kipindi cha Pasaka hudumu kwa siku ngapi?

pope-smiley-emoticon.gif Wakati wa kwaresma yawapasa waamini kufanya nini?

pope-smiley-emoticon.gif Kwaresma ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Majilio ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vingapi?

pope-smiley-emoticon.gif Liturujia Ifanyike mahali pa namna gani?

pope-smiley-emoticon.gif Liturujia inaadhimishwa wapi?

pope-smiley-emoticon.gif Nani huadhimisha Liturujia?

pope-smiley-emoticon.gif Adhimisho la Liturujia Hutumia Ishara na Alama zipi?

pope-smiley-emoticon.gif Katika mwaka wa kanisa tunakumbuka nini?

pope-smiley-emoticon.gif Ni nani hupanga Taratibu za Liturujia?

pope-smiley-emoticon.gif Katika Liturujia Roho Mtakatifu anatenda nini kuhusiana na Kanisa/

pope-smiley-emoticon.gif Kwa namna gani Mungu Baba ndiye asili na lengo la Liturujia?

pope-smiley-emoticon.gif Kilele cha Liturujia ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Katika liturujia waamini wanafanya nini?

pope-smiley-emoticon.gif Liturujia ina nafasi gani katika Kanisa?

pope-smiley-emoticon.gif Liturujia ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Sentesi saba za Yesu msalabani ni zipi?

pope-smiley-emoticon.gif Yesu alitukomboa kwa hatua zipi?

pope-smiley-emoticon.gif Yesu Alianza kuhubiri injili kwa maneno gani?

pope-smiley-emoticon.gif Nani ni shahidi wa kwanza katika Agano Jipya?

pope-smiley-emoticon.gif Nani ni Mitume wa Mataifa?

pope-smiley-emoticon.gif Baba Mtakatifu wa kwanza ni nani?

pope-smiley-emoticon.gif Mitume kumi na wawili wa Yesu Kristu ni wapi?

pope-smiley-emoticon.gif Wazazi wa Bikira Maria ni nani?

pope-smiley-emoticon.gif Wazazi wa Yohani Mbatizaji ni nani?

pope-smiley-emoticon.gif Mtangulizi wa Yesu Kristu ni nan?

pope-smiley-emoticon.gif Yesu Kristu aliishi wapi kabala ya kuanza kazi yake?

pope-smiley-emoticon.gif Nini maana ya Jina Bethlehemu?

pope-smiley-emoticon.gif Yesu Kristu alizaliwa wapi?

pope-smiley-emoticon.gif Baba Mlishi wa Yesu Kristu ni nani?

pope-smiley-emoticon.gif Baba wa Yesu Kristo ni nani?

pope-smiley-emoticon.gif Mama wa Yesu Kristo ni nana?

pope-smiley-emoticon.gif Nyaraka za Mitume katika Biblia ni zipi?

pope-smiley-emoticon.gif Vitabu vya Hekima Katika Biblia ni Vipi?

pope-smiley-emoticon.gif Vitabu vya manabii katika Biblia ni vipi?

pope-smiley-emoticon.gif Mambo yanayorudisha kwaya Katoliki nyuma

pope-smiley-emoticon.gif Maana ndefu ya Ishara ya msalaba

pope-smiley-emoticon.gif Mafundisho na mapokeo Katika Kanisa Katoliki yanapopatikana kwenye Biblia

pope-smiley-emoticon.gif Daima Tinakumbushwa kuungama dhambi zetu hata kama ni ndogo kiasi gani

pope-smiley-emoticon.gif Usiyumbishwe na kila upepo wa mafundisho

pope-smiley-emoticon.gif Tafakari Kuhusu siku ya mwisho

pope-smiley-emoticon.gif Kazi ya Upadre ni ya kipekee

pope-smiley-emoticon.gif Nafasi ya Bikira Maria Katika Kanisa Katoliki

pope-smiley-emoticon.gif Sala ya Kuombea Hali njema ya hewa na mvua

pope-smiley-emoticon.gif Vitabu vya Historia katika Biblia ni vipi?

pope-smiley-emoticon.gif Mungu alimpa Musa Amri Kumi wapi?

pope-smiley-emoticon.gif Nani aliwatoa Waisraeli MIsri na Kuwaongoza Katika nchi ya Ahadi?

pope-smiley-emoticon.gif Watoto wa Yakobo ni Wepi?

pope-smiley-emoticon.gif Mababu watatu wa Imani Katika Biblia ni wakina nani?

pope-smiley-emoticon.gif Watoto wa Nuhu ni wepi?

pope-smiley-emoticon.gif Watoto wawili wa Adamu na Eva walkikuwa wepi?

pope-smiley-emoticon.gif Injili ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano Jipya ni vipi?

pope-smiley-emoticon.gif Kitabu cha kwanza na cha mwisho katika Agano la Kale ni vipi?

pope-smiley-emoticon.gif Wainjili wanne Katika Agano Jipya ni wakina nani?

pope-smiley-emoticon.gif Vitabu vya Musa ni vipi?

pope-smiley-emoticon.gif Vitabu vya Agano Jipya Vimegawanywa katika sehemu ngapi?

pope-smiley-emoticon.gif Vitabu vya Agano la Kale vimegawanywa katika sehemu ngapi?

pope-smiley-emoticon.gif Biblia nzima ina vitabu vingapi?

pope-smiley-emoticon.gif Agano Jipya lina vitabu vingapi?

pope-smiley-emoticon.gif Agano la Kale lina vitabu vingapi?

pope-smiley-emoticon.gif Biblia ina sehemu kuu ngapi?

pope-smiley-emoticon.gif Biblia ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Neno "BIBLIA" maana yake ni nini?

pope-smiley-emoticon.gif Mtu akitaka kupata Rehema za Kanisa Katoliki yampasa nini?

pope-smiley-emoticon.gif Kipimo cha Rehema ni nini?

Karibu tena Kwenye tovuti yetu

๐Ÿ“š Endelea kusoma kuhusu;-๐Ÿ‘‡

.

Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” Kina kurasa 270 zenye picha๐Ÿ“ท na vichekesh๐Ÿ˜‚ zaidi ya 300๐Ÿ’จ
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

๐Ÿ“ฐ Posti nyingine๐Ÿ‘‡

๐Ÿ“Œ Maana ya siku ya Jumatano ya Majivu

Wakati umetimia na ufalme wa Mungu umekaribia, tubuni na kuiamini Injili, (Mk 1:15), haya ndiyo maneno ya kwanza ya Yesu ambayo kadri ya Mwinjili Marko yanafungua kazi ya hadhara ya Yesu, kwa maana hiyo kazi ya Yesu inaanza kwa kuwaandaa watu katika toba ili hatimaye, wapate kuukaribia au kuingia katika ufalme wa Mungu. Na wakati ndiyo sasa. Wakati ni sasa , Yesu anatuhubiria na Kwaresima imewadia, na ndiyo maana siku ya Jumatano ya majivu, kwa kuitikia mwito wa maneno ya Yesu kanisa linatualika kuingia katika kipindi cha Kwaresma, ambacho ni kipindi cha kujikusanya, kujitayarisha, kijitengeneza na kujikarabati hasa kwa toba, kufunga, kusali na kujitoa sadaka zaidi mambo yanayorutubishwa kwa tafakari ya kina ya Neno la Mungu…..inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Maana ya siku ya Jumatano ya Majivuโœ…

๐Ÿ“Œ Masomo ya leo 20/3/2016

MASOMO YA MISA, MACHI 20, 2016
DOMINIKA YA MATAWI NA KUKUMBUKA MATESO YA BWANA

SOMO 1….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Masomo ya leo 20/3/2016โœ…

๐Ÿ“Œ Rozari ya Huruma ya Mungu

Uisali daima rozari hii niliyokufundisha. Na yeyote atakayeisali Rozari hii atajaliwa kupata Huruma Kuu ya Mungu saa ya kufa kwake, hata wakosefu shupavu wakisali Rozari hii, hata kama ni mara moja tu, wataipata Huruma Yangu isiyo na mwisho. Kwa njia ya Rozari hii, unaweza kuomba chochote na utakipata, bora tu kipatane na mapenzi yangu. Ninataka dunia nzima iijue Huruma Yangu isiyo na mwisho. Nami ninataka kuwapa neema nyingi wale wanaoitukuza Huruma Yangu, hata neema zile wasizofikiria kuzipataโ€. Maneno ya Yesu kwa Sista Faustina….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Rozari ya Huruma ya Munguโœ…

๐Ÿ“Œ NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA

NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA, ALHAMISI BAADA YA PASAKA….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABAโœ…

๐Ÿ“Œ Mbinu 4 anazotumia Shetani kuteka na kurubuni Watu

1. Kutushawishi tuache kusali maaana njia kuu ya mawasiliano kati yetu na MUNGU.Hivyo akifanikiwa hapo kwisha habari yako….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Mbinu 4 anazotumia Shetani kuteka na kurubuni Watuโœ…

๐Ÿ“Œ Mtakatifu Andrea Mtume

alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mmoja kati ya wawili wa kwanza kati ya Mitume wa Yesu…..inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Mtakatifu Andrea Mtumeโœ…

๐Ÿ“Œ Ajali mbaya kuliko zote duniani Kiroho

Hizi ndio ajali mbaya kuliko zote hapa Duniani, japo wengi huziona za kawaida tu, omba usikutane nazo kabisa!….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Ajali mbaya kuliko zote duniani Kirohoโœ…

๐Ÿ“Œ Maana ndefu ya Ishara ya msalaba

_Ishara ya msalaba ina maana ndefu sana!_….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Maana ndefu ya Ishara ya msalabaโœ…

๐Ÿ“Œ Tafakari ya SA-SE-SI-SO-SU

:::::"SA"::::::
:::::::"SE"::::::
:::::::::"SI"::::::
::::::::::"SO"::::::
::::::::::::"SU"::::::….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Tafakari ya SA-SE-SI-SO-SUโœ…
orkut_3704.gif

๐Ÿ“ฐ Posti za sasa๐Ÿ‘‡

A SALA YA KUWAOMBEA MAPADRE

Ee Bwana Yesu Kristo. Mkombozi wetu, kwa mapendo na tamaa yako ya kutaka kulinda vema Kanisa lako, ukachagua Mapadri wawe Wachungaji na Viongozi wa roho za watu. Nakuomba sana; ubariki nia na bidii inayowapasa Mapadri wote katika kazi zao. Uwaongezee Utakatifu…..inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰SALA YA KUWAOMBEA MAPADREโœ”

A Abrahamu/Abramu anaitwa na Mungu

1 Bwana akamwambia Abramu, Toka wewe katika nchi yako, na jamaa zako, na nyumba ya baba yako, uende mpaka nchi nitakayokuonyesha;….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Abrahamu/Abramu anaitwa na Munguโœ”

A Mtakatifu Mathayo Mtume

Mathayo (kwa Kiebrania ืžึทืชึดึผืชึฐื™ึธื”ื•ึผ, Mattityahu au ืžืชื™, Mattay, Zawadi ya Mungu; kwa Kigiriki ฮœฮฑฯ„ฮธฮฑแฟ–ฮฟฯ‚, Matthaios) alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mmojawapo kati ya Mitume wa Yesu anayeheshimiwa hasa kutokana na Injili yenye jina lake. Labda aliitwa pia Lawi…..inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Mtakatifu Mathayo Mtumeโœ”

A Jinsi Biblia inavyomueleza Bikira Maria

Biblia inashuhudia kuwa watu wanatofautiana

Maandiko matakatifu yanawasifu watu mbalimbali kutokana na jinsi walivyomuamini Mungu na kutenda makuu kwa ajili ya taifa lake.

Abrahamu alimuamini Mungu akawa tayari kumtolea sadaka mwanae Isaka, tukio lililomfanya apate baraka ya pekee ya kuwa baba wa waamini (Mwa 22:15-18).

Yosefu, mwana mpenzi wa Yakobo, alikuwa mwaminifu hata akaliokoa taifa lisiangamie kwa njaa (Mwa 50:20).

Musa ndiye mkombozi wa taifa la Mungu katika Agano la Kale: aliongoza Israeli kutoka [[utumwani Misri akalipatia sheria kutoka kwa Mungu katika mlima Sinai. Maandiko ya Agano la Kale yanakiri, โ€œWala hajainuka kiongozi kama alivyokuwa Musaโ€ (Kumb 34:10-12).

Waliofuata ni Yoshua, Debora, Gideoni, Ruthu, Samweli, wafalme Daudi na Solomoni, manabii Eliya, Isaya, Yeremia, Ezekieli na wengineo.

Mwishoni Yesu Kristo akamsifu Yohane Mbatizaji akisema, โ€œNi mkuu kati ya uzao wa wanawakeโ€ (Lk 7:24-28).

Elizabeti, mama wa Yohane, alijiona hastahili kutembelewa na Bikira Maria, Mama wa Yesu, akamuita, โ€œMama wa Bwana wanguโ€ (Lk 1:43).

Bikira Maria si mtu wa ziada katika mpango wa Mungu bali ni mshiriki mkuu wa ukombozi wa binadamu. Maria amechangia wokovu kwa kukubali mpango wote wa Mungu aliyetaka amzae Mwanae, amlee na kumfuata kiaminifu hadi msalabani, aliposhiriki kumtoa kama sadaka ya kutuokoa. Msimamo wake ulikuwa mmoja tu: โ€œTazama, mimi ni mjakazi wa Bwana; na iwe kwangu kama ulivyosemaโ€ (Lk 1:38).

Tukichunguza nafasi yake katika fumbo hilo, tunaweza kukiri pamoja naye kuwa ni Mwenyezi Mungu aliyemtendea makuu (Lk 1:49), kwa kuwa, โ€œMtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Munguโ€ (Yoh 3:27).

Yale yote ambayo Wakristo wengi wanayasadiki kuhusu Bikira Maria, hakujipatia bali alijaliwa na Mwenyezi Mungu huku akiitikia kwa hiari fumbo la mpango wake…..inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Jinsi Biblia inavyomueleza Bikira Mariaโœ”

A NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA

NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABA, ALHAMISI BAADA YA PASAKA….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA SABAโœ”

A NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE

NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANE, IJUMAA BAADA YA PASAKA….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰NOVENA YA HURUMA YA MUNGU SIKU YA NANEโœ”

A Mtakatifu Andrea Mtume

alikuwa Myahudi wa karne ya 1, mmoja kati ya wawili wa kwanza kati ya Mitume wa Yesu…..inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Mtakatifu Andrea Mtumeโœ”

A Mambo ya kufahamu katika kipindi cha kwaresima

Kwa kipindi cha Kwaresma haya ndiyo mambo muhimu unayopaswa kuyajua…..inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Mambo ya kufahamu katika kipindi cha kwaresimaโœ”

A Uelewa wa namba katika Biblia

Biblia imeandikwa na Mungu kupitia waandishi wanadamu kwa uvuvio wa Roho Mtakatifu. Hivyo Biblia ni Neno la Mungu. Hivyo mwandishi wa Biblia ni Mungu kupitia wanadamu (God is the primary author of the Bible while human authors are secondary authors). Mungu aliwavuvia (inspiration by the Holy Spirit) waandishi wanadamu ili waweze kuandika kile tu ambacho Yeye (Mungu) alitaka kiandikwe kwa ajili ya wokovu wa wanadamu. Kusema kuwa Biblia imeandikwa na Mungu kupitia wanadamu haina maana ya kuandikwa kwa njia ya imla (dictation), kana kwamba Mungu anataja sentensi au neno na wao wanaandika. Hapana, pamoja na kuwavuvia Roho Mtakatifu, waandishi wanadamu walikuwa huru kutumia vipawa mbalimbali vya uandishi na mazingira yao ili kufikisha ujumbe ambao Mungu amewavuvia. Hivyo walikuwa โ€œactive writers of the Bible, and not passive writers.โ€ Walitumia akili (reason), utashi (will), ujengaji picha (imagination) na vipawa vingine. Lakini vipawa hivi vyote vilikuwa chini ya maongozi ya Roho Mtakatifu ili kuwawezesha waandishi wa Biblia kufikisha ujumbe kwa ufasaha bila makosa.
Hivyo kuelewa kifungu au ujumbe wa Biblia ni lazima kujua yafuatayo:
Maana aliyokusudia mwandishi (the meaning of the human author)
Kusudi/malengo ya Roho Mtakatifu….inaendelea....

๐Ÿ‘soma zaidi kuhusu ๐Ÿ‘‰Uelewa wa namba katika Bibliaโœ”
Jesus-jesus-9027161-315-320.gif

Majarida na vitabu kutoka Ackyshine eBook Shop

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Hoho Kilimo cha hoho kimeelezewa
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Matikiti Linafundisha ulimaji wa matikiti
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Vichekesho Vikuu Vikali 300+โœ” Kina kurasa 270 zenye picha๐Ÿ“ท na vichekesh๐Ÿ˜‚ zaidi ya 300๐Ÿ’จ
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Bamia Linafafanua Kilimo cha bamia
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose ๐Ÿ“•Kitabu cha Mbinu za Kilimo Bora Cha Mboga๐ŸŒฟ๐Ÿ… Kina kurasa 100 na utaalamu wa mazao zaidi ya 10
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

Kichekesho%20Kipya Usikose Jarida la Kilimo Bora cha Kabichi Linafundisha kulima kabichi
๐Ÿ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

1866404mf0k1737e6.gif

.

.