.

Mtakatifu John Fisher

Mtakatifu-John-Fisher.jpg
Mtakatifu John Fisher
John Fisher au John wa Rochester (1469 โ€“ 22 Juni 1535) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kule Uingereza.

Pamoja na Thomas More, alimkataa mfalme Henry VIII aliyejitenga na Kanisa la Roma. Kwa hiyo, John Fisher alifungwa na baada ya kushtakiwa mahakamani aliuawa. Kabla ya hapo Papa Paulo III alimteua kuwa kardinali.

Mwaka 1935 alitangazwa na Papa Pius XI kuwa mtakatifu mfiadini. Sikukuu yake ni 22 Juni katika Kanisa Katoliki

Watakatifu๐Ÿ‘‡

W.gif