Blog kwa Wakatoliki

Mpangilio wa kurasa Kwa Wakatoliki ndani ya AckySHINE

|| HOME || MAKALA || TAFAKARI || SALA || MAFUNDISHO || MIUJIZA || WATAKATIFU || NYIMBO || PICHA ||

.

Mtakatifu Faustina Kowalska

Mtakatifu-Faustina-Kowalska.jpg
Mtakatifu Faustina Kowalska
Maria Faustina Kowalska, (kabla hajaingia utawani aliitwa Helena Kowalska), anafahamika zaidi kama Mtakatifu Faustina.

Alizaliwa tarehe 25 Agosti 1905 kijijini Gล‚ogowiec (soma Gwogoviec) karibu ya ลรณdลบ (soma Wodz) nchini Poland, akafariki dunia tarehe 5 Oktoba 1938 mjini Krakรณw, Poland.

Anaheshimiwa kama mtakatifu wa Kanisa Katoliki, kutokana na sifa zake kama mtawa wa Shirika la Bibi Yetu wa Huruma, mcha Mungu, aliyejaliwa njozi na madonda ya Yesu.

Anajulikana hasa kama mtume wa Huruma ya Mungu, katibu wa Yesu Mwenye Huruma na mwandishi wa Hafidhi.

Watakatifu Wengine

.

.

.

.

.

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

Melkisedeck%20Shine.gif