.

Mtakatifu Brigita wa Sweeden

Mtakatifu-Brigita-wa-Sweeden.jpg
Mtakatifu Brigita wa Sweeden
Birgita wa Uswidi (Finsta, Uswidi, 3 Juni 1303 โ€“ Roma, Italia, 23 Julai 1373) alikuwa Mkristo wa Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko, halafu mwanzilishi wa shirika la Mwokozi Mtakatifu.

Alitangazwa mtakatifu na Papa Bonifasi IX mwaka 1391, halafu msimamizi mmojawapo wa Ulaya na Papa Yohane Paulo II mwaka 1999

Watakatifu๐Ÿ‘‡

W.gif