[PDF] Sala za Asubuhi na Sala za Jioni

download-pdf.gif

DOWNLOAD HAPA kama haijajifungua moja kwa moja
download-pdf.gif

PDF hii ina mkusanyiko wa sala za kusali asubuhi na za jioni kabla ya kulala.

Usisahau kushare pdf hii ya Sala za Asubuhi na Sala za Jioni!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

PDF nyingine kama hii

IMG_20180108_172811.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Sala yoyote ili iwe SALA lazima itolewe kwa Imani, Upendo, Unyenyekevu na kwa Matumaini. Sala kama hii ndiyo ipendezayo mbele ya Mungu.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!

images-24.jpeg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine, Mungu Akubariki sana…. Tuzidi Kuombeana.