[PDF] Biblia Takatifu: Agano Jipya

download-pdf.gif

DOWNLOAD HAPA kama haijajifungua moja kwa moja
download-pdf.gif

PDF hii ina vitabu vyote vya Agano Jipya

Usisahau kushare pdf hii ya Biblia Takatifu: Agano Jipya!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

PDF nyingine kama hii

images-23.jpeg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Mungu ni Mwaminifu Sana na mwenye mipango na subira katika kila kitu hasa Sala na maombi yetu kwake. Tunaposali leo Mungu anatusikia na kujibu leo, kesho au hata miaka kumi ijayo. Inawezekana hata baraka zako za leo ni majibu ya Sala zako miaka kumi iliyopita. Sali bila kuchoka kwani hujui Sala zako zitakusaidia lini. Usitegemee majibu ya Sala zako wakati huo huo, amini katika uaminifu wa Mungu kwani anajua lini ni siku sahii ya kukujibu.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!

IMG_20180108_171846.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine, Mungu Akubariki sana…. Tuzidi Kuombeana.