T.gif Tafakari: "Upendo na chuki havitangamani"👇

IMG_20180125_210226.jpg
Upendo wa kweli hauambatani na chuki. Huwezi kusema una Upendo wakati kuna watu wengine unawapenda na wengine unawachukia. Ni sawa na kusema kitambaa ni cheupe lakini kina madoa doa, maana yake sio cheupe.

flower.jpg

USIKOSE HII👉 Je, ubatizo tuu unatosha?

.

.

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.