YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog kwa Wakatoliki

Mpangilio wa kurasa Kwa Wakatoliki ndani ya AckySHINE

|| HOME || MAKALA || TAFAKARI || SALA || MAFUNDISHO || MIUJIZA || WATAKATIFU || NYIMBO || PICHA ||

.

Tafakari ya saaπŸ‘‡

T.gif
IMG_20170703_130916.jpg

Tumaini kwa Mungu

FURAHA-SHINE.jpg

Mtumainie Mungu kwa maana Mungu hawatupi wale wamtumainiao na kumgoja. Mkono wake upo tayari kwa ajili ya kuwaokoa wale wanaomwelekea.

images-11.jpeg

Mkaribie Mungu kila wakati

images-11.jpeg

Sala ni kama chakula cha Roho, Bila sala roho inakufa. Tusali daima ili roho zetu ziwe hai siku zote.

IMG_20170703_130916.jpg

Mungu anakupenda sana na yupo kwa ajili yako

HAPPY-MOMENTS.jpg

Mungu ni rahisi sana kupatikana. Ugumu ni njia ya Kumtafuta Mungu na namna ya kumuishi Mungu. Hapa ndipo watu wengi wanashindwa.

images-12.jpeg

Mungu akubariki sana…

Uwe na Amani

18010559_1256919237760740_2925276740254304995_n.jpg
πŸ™‰Usisahau kushare posti hii Kuhusu πŸ‘‰Tumaini kwa Mungu, Shareβœ” Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp n.k..πŸ’―βœ…

πŸ“š Endelea kusoma tafakari hizi;-πŸ‘‡

πŸ“Œ Ujumbe wa leoβœ”

πŸ“Œ Anachokiangalia Munguβœ”

πŸ“Œ Mambo muhimu katika salaβœ”

πŸ“Œ Mimi ni Mungu na si mtuβœ”

πŸ“Œ Sifa za Sala yeyoteβœ”

πŸ“Œ Sali daimaβœ”

.

IMG_20170703_131021.jpg

"Mungu anamjibu mtu sala zake kutokana na anachonuia."

.

d.gifKichekesho%20Kipya Nimekuzawadia NOVENA YA ROHO MTAKATIFU AR.gif PDF hii ina Mpangilio wa Sala, Litani na Nyimbo kwa siku zote tisa.πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

d.gifKichekesho%20Kipya Nimekuzawadia ROZARI YA MAMA BIKIRA MARIA AR.gif PDF hii ina mwongozo wa namna ya kusali Rozari Takatifu ya Mama Bikira MariaπŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

.

d.gifKichekesho%20Kipya Nimekuzawadia NOVENA YA ROHO MTAKATIFU AR.gif PDF hii ina Mpangilio wa Sala, Litani na Nyimbo kwa siku zote tisa.πŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

d.gifKichekesho%20Kipya Nimekuzawadia Biblia Takatifu: Agano Jipya AR.gif PDF hii ina vitabu vyote vya Agano JipyaπŸ‘‰Bofya hapa KuchukuaKizuri

.

.

FURAHA-SHINE.jpg

Tumsifu Yesu Kristu…. Mungu ni Mwaminifu Sana na mwenye mipango na subira katika kila kitu hasa Sala na maombi yetu kwake. Tunaposali leo Mungu anatusikia na kujibu leo, kesho au hata miaka kumi ijayo. Inawezekana hata baraka zako za leo ni majibu ya Sala zako miaka kumi iliyopita. Sali bila kuchoka kwani hujui Sala zako zitakusaidia lini. Usitegemee majibu ya Sala zako wakati huo huo, amini katika uaminifu wa Mungu kwani anajua lini ni siku sahii ya kukujibu.
Na Melkisedeck Shine

Jina langu ni Melkisedeck L. Shine. Mimi ni Mkristu Mkatoliki

Usisite kuniandikia maoni,mapendekezo au maswali hapa
Jina
Dini/dhehebu
Mfano Mwislamu, Katoliki, Lutherani, Mlokole n.k
Email
Itatumika kukujibu
Maoni yako

ABOUT ME | MY PERSONAL BLOG

.