flower.jpg
T.gif Tafakari: "Sala sio maneno tuu"πŸ‘‡
images-11.jpeg
Sala siyo maneno mazuri, bali sala ni NIA ya Upendo iliyobebwa na maneno mazuri. Tusali kwa kunuia kutoka moyoni na sio kwa kunena maneno tuu mdomoni.

flower.jpg

πŸ“š Endelea kusoma tafakari hizi;-πŸ‘‡

MARIA-WOKOVU-WETU.JPG