T.gif Tafakari: "Sala ni kuongea na Mungu"👇

IMG_20180125_205756.jpg
Jifunze na jijengea tabia ya kumsikiliza Mungu rohoni mwako unaposali. Sala ni mazungumzo ya Mungu na mwanadamu. Mazungumzo yanahusisha kuongea na kusikiliza.

flower.jpg

.

.

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.