flower.jpg
T.gif Tafakari: "Njia ya Kumrudia Mungu"πŸ‘‡
IMG_20180125_210226.jpg
Njia pekee ya Kumrudia Mungu tunapoanguka dhambini ni Njia ya Toba ya kweli ikiambatana na kukiri makosa na kusamehewa. Mara nyingi tunapotubu tunasahau dhambi za mawazo na kukumbuka za matendo tuu. Dhambi ya Mawazo pia ni dhambi yapaswa toba na maondoleo.

flower.jpg

πŸ“š Endelea kusoma tafakari hizi;-πŸ‘‡

Slide2-mabesti-utotoni.PNG