T.gif Tafakari: "Neno "Nimekusamehe""👇

images-12.jpeg
Ni jambo jema kusamehe wale waliotukosea. Neno "Nimekusamehe" ni zuri kusikia masikioni kuliko neno "Ninakupenda". Maana kusamehewa ni zaidi ya kupendwa kwani Msamaa ni matokeo ya Upendo.

flower.jpg

.

.

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.