T.gif Tafakari: "Mungu yupo kwa ajili yako"👇

IMG_20180108_172936.jpg
Usifadhaike moyoni pale unapokuwa katika matatizo au unapopitia changamoto katika maisha. Kumbuka kuwa Mungu yupo, anayaona hayo na anataka kukusaidia, ni wewe tuu kumpa nafasi ya kukusaidia. Hatumpi Mungu nafasi pale tunapozani tunaweza wenyewe.

flower.jpg

.

.

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.