flower.jpg
T.gif Tafakari: "Mungu ni Mwaminifu"πŸ‘‡
width="85"
Mungu ni Mwaminifu Sana na mwenye mipango na subira katika kila kitu hasa Sala na maombi yetu kwake. Tunaposali leo Mungu anatusikia na kujibu leo, kesho au hata miaka kumi ijayo. Inawezekana hata baraka zako za leo ni majibu ya Sala zako miaka kumi iliyopita. Sali bila kuchoka kwani hujui Sala zako zitakusaidia lini. Usitegemee majibu ya Sala zako wakati huo huo, amini katika uaminifu wa Mungu kwani anajua lini ni siku sahii ya kukujibu.

flower.jpg

USIKOSE HIIπŸ‘‰ Toharani ni mahali gani?

πŸ“š Endelea kusoma tafakari hizi;-πŸ‘‡

baada-ya-kufa-ni-hapo-hapo.JPG
IMG_20180108_171856.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine,