T.gif Tafakari: "Mungu anasubiri sala zako"👇

IMG_20180108_172822.jpg
Mungu anasubiri sala zako kila siku. Anasubiri sala zako akujibu ili uone utukufu wake. Anasubiri sala zako ili akuze mahusiano yake na wewe. Sali daima kwani Mungu yupo milele kukusikiliza na kukuhudumia.

flower.jpg

.

.

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.