T.gif Tafakari: "Kutubu ni njia ya kumrudia Mungu"πŸ‘‡

IMG_20180109_191912.jpg
Kutubu ndio njia pekee ya kumrudia Mungu. Toba ya kweli ndiyo iletayo maondoleo ya dhambi. Ukiondolewa dhambi unaimarishwa na kufanywa mya. Tubu usamehewe na kufanywa mpya.

flower.jpg

.

.

IMG_20181021_134826.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mwenendo wa Roho. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!