T.gif Tafakari: "Kukosa hata mara moja inahesabika ni kukosea"👇

IMG_20181021_134724.jpg
Kukosa hata mara moja inahesabika ni kukosea mbele ya Mungu. Kwa kuwa kwa Mungu hakuna kusema, 'Kukosea mara moja sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa'. Mbele ya Mungu kila kosa lina uzito wake haijalishi ni kosa la mara ya kwanza.

flower.jpg

.

.

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.