YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Yesu aliweka sakramenti ngapi?πŸ‘‡

Yesu aliweka sakramenti saba ambazo ni;

1. Ubatizo (Yoh 3:3, Mk. 16:15-16)

2. Kipaimara (Isa 11:2, Mdo 8:14-17)

3. Ekaristi Takatifu (Yoh 6:1-7, 1Kor 11:24-25)

4. Kitubio (Mt 16:18-19; 18:18; Yoh 20:21-23)

5. Mpako Mtakatifu (Mk 6:13, Yak 5:14-15)

6. Daraja Takatifu (Lk 22:21-25; 1Kor 11:24-25)

7. Ndoa (Mwa 2:21-25; Mt 19:3-9)

βͺSwali lililopita: Sakramenti ni nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Yesu aliweka sakramenti ngapi?πŸ‘‡
Ndugu.gif