Wokovu unapatikana wapi?

Wokovu unapatikana kwa Yesu tu, anayeishi katika Kanisa lake. Hata hivyo Roho Mtakatifu anaweza akaongoza mtu asiyewajua bila ya kosa lake aungane nao kiroho kwa kumlenga Mungu na kujitahidi kumtii kwa moyo wote. โ€œTunamtumaini Mungu aliye hai, aliye Mwokozi wa watu wote, hasa wa waaminioโ€ (1Tim 4:10). โ€œHakika natambua ya kuwa Mungu hana upendeleo; bali katika kila taifa mtu amchaye na kutenda haki hukubaliwa na yeyeโ€ฆ Twaamini kwamba tutaokoka kwa neema ya Bwana Yesu vilevile kama waoโ€ (Mdo 10:34-35; 15:11).

โฌโฌEndelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu ๐Ÿ‘‰Wokovu unapatikana wapi?๐Ÿ‘‡

Usisahau kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Wokovu unapatikana wapi?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Wokovu unapatikana wapi?, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

โ€ข Maswali na majibu Kuhusu Ndoa, isome hapa

โ€ข Mungu ni Mkubwa, isome hapa

โ€ข Zaburi ya Toba, Zaburi ya 51, isome hapa

โ€ข JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?, isome hapa

โ€ข Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari, isome hapa

โ€ข Swali la kutisha, isome hapa

โ€ข Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu, isome hapa

โ€ข Tujifunze kitu hapa, isome hapa

โ€ข Kuumbwa kwa mtu, Mungu alivyoumba binadamu, isome hapa

โ€ข Kuumbwa kwa Dunia, isome hapa

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Upendo wa kweli hauambatani na chuki. Huwezi kusema una Upendo wakati kuna watu wengine unawapenda na wengine unawachukia. Ni sawa na kusema kitambaa ni cheupe lakini kina madoa doa, maana yake sio cheupe."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Wokovu unapatikana wapi?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gif๐Ÿ‘‰] Maombezi yako Maria
[WIMBOPA.gif๐Ÿ‘‰] Tumsifu Maria
Mtakatifu-Fransisko-Xaver.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Fransisko Xavier.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Fransisko Xavier hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20180108_172410.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Sala ni kuongea na Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!