YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Wakubwa tunaopaswa kuwaheshimu ni kina nani?πŸ‘‡

Wakubwa hao ni;

1. Viongozi wa Kanisa

2. Viongozi wa Serikali

3. Walimu na walezi

4. Wakubwa wa kazi (War 13:1)

5. Viongozi wa Jumuiya

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Wakubwa tunaopaswa kuwaheshimu ni kina nani?πŸ‘‡
IMG_20180109_192604.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Kutubu ndio njia pekee ya kumrudia Mungu. Toba ya kweli ndiyo iletayo maondoleo ya dhambi. Ukiondolewa dhambi unaimarishwa na kufanywa mya. Tubu usamehewe na kufanywa mpya.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!