YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Wakati wa ibada tuvae vipi?πŸ‘‡

Wakati wa ibada tuvae namna inayodhihirisha malengo ya moyo wetu, hasa usafi na heshima, unyenyekevu na udugu. β€œOle wenu, waandishi na Mafarisayo, wanafiki, kwa kuwa mmefanana na makaburi yaliyopakwa chokaa, nayo kwa nje yaonekana kuwa mazuri, bali ndani yamejaa mifupa ya wafu, na uchafu wote” (Math 23:27). β€œAkiingia katika sinagogi lenu mtu mwenye pete ya dhahabu na mavazi mazuri, kisha akiingia na maskini, mwenye mavazi mabovu; nanyi mkimstahi yule aliyevaa mavazi mazuri, na kumwambia, β€˜Keti wewe hapa mahali pazuri’, na kumwambia yule maskini, β€˜Simama wewe pale’, au β€˜Keti miguuni pangu’, je, hamkufanya hitilafu mioyoni mwenu, mkawa waamuzi wenye mawazo mabovu?” (Yak 2:2-4). β€œWanawake na wajipambe kwa mavazi ya kujisitiri, pamoja na adabu nzuri, na moyo wa kiasi; si kwa kusuka nywele, wala kwa dhahabu na lulu, wala kwa nguo za thamani, bali kwa matendo mema, kama iwapasavyo wanawake wanaoukiri uchaji wa Mungu” (1Tim 2:9-10). Kanisa si mahali pa mashindano: hatuendi kupendeza watu, ila Mungu. β€œAu mnalidharau kanisa la Mungu, na kuwatahayarisha hao wasio na kitu?” (1Kor 11:22).

βͺSwali lililopita: Je, ni halali kuheshimu sanamu?
⏩Swali linalofuata: Sakramenti ya kwanza daima ni ipi?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Wakati wa ibada tuvae vipi?πŸ‘‡

πŸ“Œ Masifu ni nini?βœ…

πŸ“Œ Tumuadhimishe nani?βœ…

πŸ“Œ Hekalu ndiyo nini?βœ…

πŸ“Œ Maana ya baraka ni ipi?βœ…

πŸ“Œ Mazinguo ndiyo nini?βœ…

tafuta-ndugu.gif