YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Ufanyeje ushinde vishawishi?πŸ‘‡

Ili kushinda vishawishi:

1. Sali daima hasa mara unaposhawishiwa

2. Epuka nafasi ya dhambi

3. Pokea Sakramenti hasa Kitubio na Ekaristi

4. Soma neno la Mungu.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Ufanyeje ushinde vishawishi?πŸ‘‡
uliyesoma.gif