Ungepaswa kusoma kwanza haya;

a.gif Ni fadhila gani inayoondoa ubahili?
Fadhila inayoondoa ubahili ni ukarimu.. soma zaidi
a.gif Ubahili ni nini?
Ubahili ni kupenda mno mali za dunia na kumsahau Mungu.. soma zaidi
a.gif Ni fadhila gani inayoondoa majivuno?
Fadhila inayoondoa majivuno ni fadhila ya Unyenyekevu.. soma zaidi

Uchafu ni nini?

Uchafu ni kufanya mawazo, tamaa, maneno au matendo kwa kuvunja amri ya sita au ya tisa ya Mungu

⏩Swali linalofuata: Ni fadhila ipi inayoondoa uchafu?

Maswali ya kuendelea

a.gif Ni fadhila ipi inayoondoa uchafu?
Fadhila inayoondoa uchafu ni fadhila ya Usafi wa Moyo.. soma zaidi
a.gif Wivu ni nini?
Wivu ni kuwaonea watu uchungu kwa heri walizonazo au kufurahia misiba yao.. soma zaidi
a.gif Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?
Fadhila inayoondoa wivu ni fadhila ya wema.. soma zaidi
a.gif Ulafi ni nini?
Ulafi ni kupenda kula au kunywa bila kiasi.. soma zaidi
a.gif Ni fadhila gani inayoondoa ulafi?
Fadhila inayoondoa ulafi ni kadiri na kiasi.. soma zaidi
a.gif Hasira ni nini?
Hasira ni kukasirika bure kuonea na kulipiza kisasi.. soma zaidi
a.gif Ni fadhila ipi yenye kuondoa hasira?
Fadhila inayoondoa hasira ni fadhila ya upole.. soma zaidi
a.gif Uvivu ni nini?
Uvivu ni uregevu wa moyo unaotufanya tukose juhudi.. soma zaidi
a.gif Fadhila inayoondoa uvivu ni ipi?
Fadhila inayoondoa uvivu ni utendaji.. soma zaidi

⏬⏬Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu 👉Uchafu ni nini?👇

• Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?, soma jibu

• Vilema ni nini?, soma jibu

• Vichwa au Mizizi ya dhambi ni ipi?, soma jibu

• Majivuno ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila gani inayoondoa majivuno?, soma jibu

• Ubahili ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila gani inayoondoa ubahili?, soma jibu

• Ni fadhila ipi inayoondoa uchafu?, soma jibu

• Wivu ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?, soma jibu

• Ulafi ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila gani inayoondoa ulafi?, soma jibu

• Hasira ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila ipi yenye kuondoa hasira?, soma jibu

• Uvivu ni nini?, soma jibu

• Fadhila inayoondoa uvivu ni ipi?, soma jibu

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Uchafu ni nini?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Uhuru Na Amani Ya Moyoni hupatikana kwa kusali wala sio kwa kusoma vitabu na kujua sana Mambo mengi."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Je Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?
Mapokeo kuhusu Bikira Maria yanaonyesha alikuwa binti pekee wa wazee watakatifu Yohakimu na Ana. Vilevile
Mt. Yosefu, ingawa kisheria alikuwa mume wake, hakutenda naye tendo la ndoa hata moja. Ndiyo maana kwenye
litania yake tunamuita mwenye usafi kamili. Yosefu likufa kabla Yesu hajaanza utume kwa kubatizwa kwenye mto
Yordani. Sisi tunasadiki Maria ni “Bikira daima”… soma zaidi
a.gif MAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA BIKIRA MARIA
Sisi Wakatoliki nyakati hizi zilizojaa madhehebu mbalimbali ya Kikristo, yanayotumia Biblia na kuitafsiri kadiri ya
imani yao ama wenyewe wanavyojisikia kwa namna fulani, tunajikuta tukichanganyikiwa na pengine kuona aibu ya
kumheshimu Mama Bikira Maria. Tunapoanza kuchunguza nafasi yake katika fumbo la ukombozi wa mwanadamu,
tunakiri pamoja naye kuwa ni Mwenyezi Mungu aliyemtendea makuu (Lk 1:49). Halafu tunakiri kwa unyenyekevu
wote pamoja na Yohane Mbatizaji, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu” (Yoh 3:27). Hivyo yale yote
tunayoyasadiki kuhusu Bikira Maria, hakujipatia mwenyewe bali amejaliwa na Mwenyezi Mungu na kuitikia kwa
hiari fumbo la mpango wake… soma zaidi
a.gif JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?
Mpenzi msomaji, kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi ya wakatoliki kwamba wanaabudu sanamu. Je, tuhuma hizo zina ukweli gani? Hilo ndilo swali tunalotaka kujibu leo… soma zaidi
a.gif Swali la kutisha
SWALI LA KUTISHA: *Ikiwa ela unayotoa kanisani ingetumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? Nauliza tu, wengi tunaweza kuwa wakimbizi mbinguni*.. soma zaidi
a.gif Mambo makubwa yanayosababisha ndoa nyingi kuvunjika
Zifuatazo ni sababu kubwa za msingi zinzozifanya ndoa nyingi za kizazi cha Leo kuvunjika haraka na kukosa kudumu.. soma zaidi
a.gif Asili na matumizi ya Neno "AMINA" kama kiitikio muhimu katika Liturujia
Kiitikio hicho tunakifahamu sisi sote; tunaitikia mara nyingi lakini je, tunaelewa umuhimu wake? Binafsi nikichunguza wakati wa maadhimisho mbalimbali ya Liturujia hasa Adhimisho la Ekaristi, ni baadhi tu ya waamini wanaoitikiaAmina sehemu mbalimbali wakati wa Misa. Waamini wengine huitikia  kwa sauti  ya kuungama dhambi na wengine hawaitikii kabisa… soma zaidi
a.gif Umakini katika kuwaza
Kuwa makini sana na mawazo yako, Yanaweza kukupeleka Mbinguni au motoni… soma zaidi
a.gif Somo la Leo
Jumapili ya 32 ya mwaka.. soma zaidi
a.gif Ajali mbaya kuliko zote duniani Kiroho
Hizi ndio ajali mbaya kuliko zote hapa Duniani, japo wengi huziona za kawaida tu, omba usikutane nazo kabisa!.. soma zaidi
a.gif Kaini na Abeli
1 Adamu akamjua Hawa mkewe; naye akapata mimba, akamzaa Kaini, akasema, Nimepata mtoto mwanamume kwa Bwana… soma zaidi
a.gif TAFAKARI YA MAISHA: Vile unavyobariki, ndivyo unavyobarikiwa
Kiwango cha majukumu uliyonayo kinaamua kiwango cha baraka zinazofuatana na wewe… soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Uchafu ni nini?, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

• Mtume Bartolomayo, isome hapa

• Maswali na majibu kuhusu Malaika, isome hapa

• Maswali na majibu kuhusu kifo, isome hapa

• Je Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?, isome hapa

• MAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA BIKIRA MARIA, isome hapa

• JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?, isome hapa

• Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari, isome hapa

• Swali la kutisha, isome hapa

• Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu, isome hapa

• Tujifunze kitu hapa, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Uchafu ni nini?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

[WIMBOPA.gif👉] Haleluya
Mtakatifu-Fransisko-wa-Sales.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Fransisko wa Sales.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Fransisko wa Sales hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20180108_172822.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Upendo wa Mungu hauna mwisho. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!