YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Ubikira au Usafi kamili maana yake ni nini?πŸ‘‡

Ni kujinyima Ndoa kwa hiari na kutunza usafi wa Moyo kadiri ya Amri ya Sita na Tisa ya Mungu kwa maisha yote.

βͺSwali lililopita: Utii wa kitawa ni nini?
⏩Swali linalofuata: Mashirika ya Kitawa yapo mangapi?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Ubikira au Usafi kamili maana yake ni nini?πŸ‘‡
IMG_20180108_171318.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Ni jambo jema kusamehe wale waliotukosea. Neno "Nimekusamehe" ni zuri kusikia masikioni kuliko neno "Ninakupenda". Maana kusamehewa ni zaidi ya kupendwa kwani Msamaa ni matokeo ya Upendo.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!