YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Twawakosea Heshima Baba na Mama kwa kufanya nini?πŸ‘‡

Twawakosea Heshima Baba na Mama kwa;

1. Tukiwakasirisha na kuwatukana

2. Tukiwakaidi na kuwapiga

3. Tukiacha kuwaombea

4. Tukiacha kuwasaidia katika shida na uzee. (Kut 21:15-17)

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Twawakosea Heshima Baba na Mama kwa kufanya nini?πŸ‘‡
IMG_20180108_172415.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Mtumainie Mungu kwa maana Mungu hawatupi wale wamtumainiao na kumgoja. Mkono wake upo tayari kwa ajili ya kuwaokoa wale wanaomwelekea.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!