YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Twajenga na kutunza dhamira zetu namna gani?πŸ‘‡

Twajenga na kutunza dhamira zetu kwa;-

1. Kufuata sauti ya Roho Mtakatifu

2. Kuzingatia mafundisho ya dini

3. Kuzingatia mila na desturi njema tulizopata katika malezi.

4 Kufuata mifano na tabia njema ya wenzetu na ya Watakatifu

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Twajenga na kutunza dhamira zetu namna gani?πŸ‘‡
tafuta-rafiki.gif