Tunaweza kusadiki vipi?

Tunaweza kusadiki vipi?


Tunaweza kusadiki kwa msaada wa Roho Mtakatifu tu, anayetuelekeza kwa Mungu, akituangazia Neno lake na kutuvuta tulikubali kwa moyo. “Mtu akipenda kuyatenda mapenzi yake, atajua habari ya yale mafunzo, kwamba yatoka kwa Mungu” (Yoh 7:17). “Nanyi mmepakwa mafuta na Yeye aliye Mtakatifu kweli, nanyi mnajua nyote” (1Yoh 2:20). Kumbe, “Mwanadamu wa tabia ya asili hayapokei mambo ya Roho wa Mungu; maana kwake huyo ni upuzi, wala hawezi kuyafahamu, kwa kuwa yatambulikana kwa jinsi ya rohoni” (1Kor 2:14).


Soma mpangilio wa mafundisho yote kulingana na topiki hapa>>Mafundisho mengine ya Kikatoliki


HURUMA-YA-MUNGU.png
YESU-ANAKUPENDA.png
Ishara-ndogo-ya-Msalaba.png