Ungepaswa kusoma kwanza haya;

Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?

Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia adili kuu la upendo: “Pendo la Mungu limekwisha kumiminwa katika mioyo yetu na Roho Mtakatifu tuliyepewa sisi” (Rom 5:5). Tena tunapokea vipaji vyake ambavyo Yesu alikuwa navyo kikamilifu. “Roho ya Bwana atakaa juu yake, roho ya hekima na ufahamu, roho ya shauri na uweza, roho ya maarifa na ya kumcha Bwana. Na furaha yake itakuwa katika kumcha Bwana” (Isa 11:2-3). Mambo hayo, tofauti na karama, ni ya lazima kwa yeyote apate wokovu wa milele.

Maswali ya kuendelea

a.gif Karama zinagawiwa vipi?
Karama zinagawiwa na Roho Mtakatifu jinsi anavyotaka, si kwa sifa au faida ya binafsi, bali kwa ustawi wa taifa la Mungu… soma zaidi
a.gif Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?
Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ekaristi, iliyo kuu kuliko sakramenti zote kwa sababu ndiyo Yesu mzima, Mungu-mtu, katika maumbo ya mkate na divai. Sisi ambao tulishiriki kifumbo kifo na ufufuko wake tukapokea kwake paji la Roho Mtakatifu, tunaalikwa kukaribia mara kwa mara meza anapotulisha na kutunywesha Mwili na Damu yake ili tushiriki uhai wake kwa dhati zaidi na zaidi. “Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu hukaa ndani yangu, nami hukaa ndani yake. Kama vile Baba aliye hai alivyonituma mimi, nami ni hai kwa Baba; kadhalika naye mwenye kunila atakuwa hai kwa mimi” (Yoh 6:56-57). Ubatizo na kipaimara havirudiwi, vinadumu ndani mwetu kama mifupa ambayo ekaristi ya mara kwa mara inazidi kuitia mwili na damu… soma zaidi
a.gif Ekaristi maana yake nini? Je ni kweli Yesu yupo katika Maumbo ya Mkate na Divai?
Ekaristi maana yake ni shukrani, iliyokuwa msimamo wa msingi wa Yesu kwa Baba maisha yake yote, hasa alipofikia wakati wa kutolewa awe kafara ya wokovu wetu… soma zaidi
a.gif Hatimaye Yesu alitumia divai kufanyia nini?
Kama alivyofanya Melkizedeck anayefananishwa na Yesu. “Melkizedeki mfalme wa Salemu alileta mkate na divai, naye alikuwa kuhani wa Mungu aliye juu sana” (Mwa 14:18), “amefananishwa na Mwana wa Mungu” (Eb 3:7). Alimtolea Mungu kama sadaka.. soma zaidi

⏬⏬Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu 👉Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?👇

• Roho Mtakatifu ana nafasi gani katika sala?, soma jibu

• Kusadiki kwa Roho Mtakatifu maana yake ni nini?, soma jibu

• Majina mengine ya Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu

• Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?, soma jibu

• Neno Manabii maana yake ni nini?, soma jibu

• Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?, soma jibu

• Roho Mtakatifu aliwafanyia nini Mitume?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anatufanyia nini sisi Wakristo?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anatutakasa kwa namna gani?, soma jibu

• Maandiko Matakatifu ndiyo nini?, soma jibu

• Roho Mtakatifu ni nani?, soma jibu

• Je, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu?, soma jibu

• Sakramenti inayohusiana zaidi na ubatizo ni ipi?, soma jibu

• Pamoja na kuwekewa mikono na mwandamizi wa Mitume, mtu anapewa kipaimara vipi?, soma jibu

• Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake nini?, soma jibu

• Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?, soma jibu

• Je, karama ni zile za kushangaza tu?, soma jibu

• Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kufanya nini?, soma jibu

• Karama zinagawiwa vipi?, soma jibu

• Karama za kushangaza zina hatari gani?, soma jibu

• Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi?, soma jibu

• Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anatusaidiaje kusali?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi wapi?, soma jibu

• Sakramenti ya Kipaimara ni nini?, soma jibu

• Nini maana ya Roho Mtakatifu?, soma jibu

• Je, Roho Mtakatifu Katika mfano wa ndimi za Moto Maana yake nini?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini nini?, soma jibu

• Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu Anatutakasa?, soma jibu

• Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu anatenda kazi zake?, soma jibu

• Kwa nini Sakramenti hii inaitwa Kipaimara?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anakuja kufanya nini rohoni mwetu kwa Kipaimara?, soma jibu

• Mapaji Saba ya Roho Mtakatifu ndio nini?, soma jibu

• Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu

• Hekima ni nini?, soma jibu

• Akili ni nini?, soma jibu

• Shauri ni nini?, soma jibu

• Nguvu ni nini?, soma jibu

• Elimu ni nini?, soma jibu

• Ibada ni nini?, soma jibu

• Uchaji wa Mungu ni nini?, soma jibu

• Ni nani mhudumu rasmi wa Sakramenti ya Kipaimara?, soma jibu

• Askofu ampaje Mkristo Kipaimara?, soma jibu

• Ishara wazi ya Sakramenti ya Kipaimara ni nini?, soma jibu

• Ina maana gani kupaka mafuta ya Krisma katika panda la uso wakati wa Kipaimara?, soma jibu

• Kwa nini Askofu anampiga kofi kidogo shavuni wakati akitoa Kipaimara?, soma jibu

• Mwenye kupokea Sakramenti ya kipaimara Yampasa nini?, soma jibu

• Mkristo Hupokea Sakramenti ya Kipaimara Mara ngapi?, soma jibu

• Roho Mtakatifu hutajwa wapi katika Rozari?, soma jibu

• Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?, soma jibu

• Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?, soma jibu

• Je, Baada ya kupokea Sakramenti ya Kipaimara ni lazima kuendelea kujifunza Dini?, soma jibu

• Je, Ni lazima kila Mkristo kupokea Sakramenti ya Kipaimara?, soma jibu

• Sakramenti ya Kipaimara inaleta manufaa gani rohoni mwa Mbatizwa?, soma jibu

• Matunda ya kuongozwa na Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu

• Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake, soma jibu

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Mungu ni Mwaminifu Sana na mwenye mipango na subira katika kila kitu hasa Sala na maombi yetu kwake. Tunaposali leo Mungu anatusikia na kujibu leo, kesho au hata miaka kumi ijayo. Inawezekana hata baraka zako za leo ni majibu ya Sala zako miaka kumi iliyopita. Sali bila kuchoka kwani hujui Sala zako zitakusaidia lini. Usitegemee majibu ya Sala zako wakati huo huo, amini katika uaminifu wa Mungu kwani anajua lini ni siku sahii ya kukujibu."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?
Mpenzi msomaji, kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi ya wakatoliki kwamba wanaabudu sanamu. Je, tuhuma hizo zina ukweli gani? Hilo ndilo swali tunalotaka kujibu leo… soma zaidi
a.gif Swali la kutisha
SWALI LA KUTISHA: *Ikiwa ela unayotoa kanisani ingetumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? Nauliza tu, wengi tunaweza kuwa wakimbizi mbinguni*.. soma zaidi
a.gif Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,
wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza
kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule
kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa
kwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwa
kushika ubao ulioelea majini akaanza kuelea nao,
maji yalimpeleka hadi kisiwa cha mbali sana
ambako hakukuwa na watu wala wanyama
isipokuwa wadudu tu! Alifika ufukweni amechoka
sana na asiyeamini tukio lililotokea, akaishi huko
kwa kula matunda… soma zaidi
a.gif Tujifunze kitu hapa
Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake.
Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu… soma zaidi
a.gif Siri ya kamba nyekundu
Miaka zaidi ya 3000 iliyopita katika mji wa Yeriko alikuwepo mwanamke mmoja kahaba, jina lake Rahabu. Huyu mwanamke aliwaokoa wapelelezi wa Israel waliotumwa kwenda kufanya uchunguzi ktk nchi yao… soma zaidi
a.gif Litania ya Huruma ya Mungu
Litania ya Huruma ya
Mungu.. soma zaidi
a.gif Kwa nini Bikira Maria hakuwa anaombwa akiwa hai? Watu na mitume hawakuwa wanasali kumuomba yeye
Bikira Maria hakuwa anaombwa akiwa hai kwa sababu alikua bado hajatukuzwa na kupewa cheo cha Umalkia wa Mbinguni… soma zaidi
a.gif Kwa nini tarehe ya Pasaka hubadilika
KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi wa
angani kama kipimo cha muda. Ziliitwa
“Lunar calender” au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1
ya Mwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaani
Mwezi-Mdogo (Crescent Moon).
Mwezi unapofika siku ya 15 unakuwa
umefikia ukubwa wa juu na huitwa Mwezi-
Mkubwa (Full Moon). Hivyo kwa kalenda ile
tarehe 15 ilikuwa ni siku ya Mwezi-Mkubwa.
Mwaka 45KK, Julius Caesar alitangaza
kalenda mpya ikaitwa “Julian Calender” iwe
na siku 365. Wakati huo ikijulikana kwamba
jua huzunguka kwa siku 365.25. Hivyo pengo
la kalenda na mzunguko likabaki robo siku… soma zaidi
a.gif Mahusiano yanayopelekea Ndoa Takatifu
BY MWL Gasto
Soma had mwisho kuna kitu
KWA NINI UMEINGIA KWENYE MAHUSIANO?
JE ILI UPENDWE>?JE UMEINGIA KWENYE
MAHUSIANO ILI KUJAZA PENGO AMBALO LI
WAZI? UMEINGIA KWENYE MAHUSIANO ILI
UFANANE NA WENGINE WALIO KWENYE
MAHUSIANO? JE UMEINGIA KATIKA MAHUSIANO
ILI KUUMALIZA UPWEKE ULIOKUA NAO?
UMEINGIA ILI UWEZE KUWA NA MTU
UNAYEWEZA KUMUITA MPENZI?
Je ili kumaliza mgandamizo wa kuachika ama
mawazo yeyote?ILI kumkomoa yeyote uliyekuwa
nae kwenye mahusiano?ili
uolewe?au umeanzisha mahusiano kwa sababu muda umeenda?…….
Kama hizi ni sababu za kuingia katika
mahusiano,basi tambua kuwa mahusiano hayo
yatakusumbua sana,na itafika wakati utatoa
maana mbaya ya mahusiano…..na kumbe wewe
ndiye muanzilishi mkuu wa
kuteswa,kuumizwa,kupigwa,kudhalilishwa,kutot
haminika…na wewe ndiye unayetoa ruhusa ya
yote hayo…
Kila mmoja wetu ana uhuru wa kuchagua…usio
na mipaka.Na kila unachokichagua ni
chema…..ni chema kwako….lakini ukumbuke
kila uchaguzi unaoufanya una madhara yake
(yenye faida na yasiyo na faida kwako……….. soma zaidi
a.gif Je Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?
Mapokeo kuhusu Bikira Maria yanaonyesha alikuwa binti pekee wa wazee watakatifu Yohakimu na Ana. Vilevile
Mt. Yosefu, ingawa kisheria alikuwa mume wake, hakutenda naye tendo la ndoa hata moja. Ndiyo maana kwenye
litania yake tunamuita mwenye usafi kamili. Yosefu likufa kabla Yesu hajaanza utume kwa kubatizwa kwenye mto
Yordani. Sisi tunasadiki Maria ni “Bikira daima”… soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

• Maswali na majibu kuhusu Vishawishi, isome hapa

• Mtume Thoma, isome hapa

• Kuumbwa kwa Dunia, isome hapa

• JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?, isome hapa

• Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari, isome hapa

• Swali la kutisha, isome hapa

• Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu, isome hapa

• Tujifunze kitu hapa, isome hapa

• Kuumbwa kwa mtu, Mungu alivyoumba binadamu, isome hapa

• Kuumbwa kwa Dunia, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Mtakatifu-Teresa-wa-Yesu-Avila.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Teresa (Teresia) wa Yesu (Avila).
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Teresa (Teresia) wa Yesu (Avila) hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20170703_130519.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mungu ni mwenye haki. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!