YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Sakramenti ya Mpako Wa Wagonjwa inamanufaa gani rohoni mwa mtu?πŸ‘‡

Manufaa ya Sakramenti ya Mpako wa Wagonjwa ni

1. Nguvu ya kuvumilia mateso na kuyaunganisha na mateso ya Yesu Kristo

2. Maondoleo ya dhambi zote asizoweza kuziungama

3. Nafuu ya mwili, hata uzima ikifaa kwa wokovu wa roho yake

4. Neema ya kujiandaa kuaga dunia na kuingia katika uzima wa milele

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Sakramenti ya Mpako Wa Wagonjwa inamanufaa gani rohoni mwa mtu?πŸ‘‡
IMG_20170703_130425.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Hakuna Binadamu anayemchukia Mungu kama hajichukii yeye mwenyewe na wale wanaomzunguka. Huwezi kusema humtaki Mungu kama hujichukii mwenyewe na wale waliokuzunguka vivyo hivyo huwezi kusema Unampenda Mungu kama hupendi wengine waliokuzunguka.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!