Rehema hutolewa na Kanisa Katoliki kwa kutugawia mastahili ya Yesu Kristo, Bikira Maria na Ya Watakatifu

βͺSwali lililopita: Rehema ni nini?
⏩Swali linalofuata: Kuna Rehema za namna ngapi?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Rehema hutolewa na nani?πŸ‘‡

images-19.jpeg
Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Sala sio maneno mengi au maneno ya kurudiarudia. Sala ni maneno au hata neno moja la kimapendo litamkwalo kwa imani na kwa nia thabiti.

Mungu Akubariki sana… Tuombeane!