Ni kwa nini ni Kweli Yesu Kristo yuko chini ya maumbo ya Mkate na Divai?

Nikweli Yesu Kristo yuko chini ya maumbo ya Mkate na Divai kwa sababu

1. Kwa kuwa hakuna kisichowezekana kwa Mungu (Lk 1:37)

2. Kwa kuwa Yesu aliahidi kutupatia chakula kutoka Mbinguni yaani Mwili na Damu yake Takatifu. (Yoh 6:41)

3. Kwa kuwa Yesu ni Mungu na akaita mkate ni mwili wake na divai ni damu yake basi lazima viwe hivyo. (Mt 26:26-27, Lk 22:14-20, Mk 14:22-26)

4. Kwa kuwa ni lazima anayetaka kuwa na uzima wa milele aule, hata leo katika maneno ya Padri Yesu huwa katika Maumbo hayo. (Yoh 6:53-56).

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Ni kwa nini ni Kweli Yesu Kristo yuko chini ya maumbo ya Mkate na Divai?πŸ‘‡

πŸ“Œ Sakramenti inayokamilisha ubatizo na kipaimara ni ipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ekaristi maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu alitumia mkate na divai kwa sababu gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mara nyingi waamini wanapokea umbo la mkate tu kwa lengo gani?, Kwa nini hatupokei mwili na damu, tunapokea mwili tuu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, divai (pombe) ni halali?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Hatimaye Yesu alitumia divai kufanyia nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika karamu ya Bwana tunakula na kunywa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baada ya mageuzo Yesu anabaki katika ekaristi mpaka lini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ekaristi ni kafara (sadaka)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini ekaristi inaitwa sakramenti ya upendo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ekaristi inaadhimishwa kwa mpangilio gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sakramenti ya Ekaristi ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu Kristo alianzisha lini Sakramenti ya Ekaristi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu Kristo alianzishaje Ekaristi Takatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni wakati gani katika Misa Mkate na Divai vinageuka Mwili na Damu yake Kristo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je Sakramenti ya Ekaristi hujulikana kwa majina yapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baada ya Mitume kufa ni nani wanafanya Sakramenti ya Ekaristi, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni lini Yesu Kristo aliwapa Maaskofu na Mapadri Uwezo wa kugeuza mkate na divai kuwa Mwili na Damu yake?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Divai iliyotumiwa na Yesu ilikua na Kilevi (pombe)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Litrujia ya Ekaristi ina sehemu kuu ngapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni vitu gani vya msingi na vya lazima katika kuadhimisha Ekaristi Takatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kabla ya Kupokea Ekaristi Takatifu Tunasali sala gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika Ekaristi Takatifu Tunampokea nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mkristo awe katika hali gani kabla ya kupokea Ekaristi Takatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Komunyo Takatifu Hutuletea neema gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mkristo akipokea Ekaristi Takatifu akiwa na dhambi rohoni anatenda dhambi gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa linahimiza waamini wapokee Ekaristi wakati gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nani Mhudumu wa adhimisho la Ekaristi Takatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Mkristo akipokea kipande cha Hostia amempokea Yesu Mzima?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sakramenti ya Ekaristi Takatifu Huifadhiwa wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tabernakulo ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sakramenti ya Ekaristi Takatifu hukaa Tabernakulo kwa sababu gani, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ishara wazi ya Sakramenti ya Ekaristi Takatifu ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Baada ya kumpokea Yesu wa Ekaristi tufanye nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Komunyo pamba ndio nini?, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

IMG_20180125_210033.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Jambo la muhimu zaidi Duniani. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!