Ungepaswa kusoma kwanza haya;

a.gif Wivu ni nini?
Wivu ni kuwaonea watu uchungu kwa heri walizonazo au kufurahia misiba yao.. soma zaidi
a.gif Ni fadhila ipi inayoondoa uchafu?
Fadhila inayoondoa uchafu ni fadhila ya Usafi wa Moyo.. soma zaidi
a.gif Uchafu ni nini?
Uchafu ni kufanya mawazo, tamaa, maneno au matendo kwa kuvunja amri ya sita au ya tisa ya Mungu.. soma zaidi

Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?

Fadhila inayoondoa wivu ni fadhila ya wema

⏪Swali lililopita: Wivu ni nini?

⏩Swali linalofuata: Ulafi ni nini?

Maswali ya kuendelea

a.gif Ulafi ni nini?
Ulafi ni kupenda kula au kunywa bila kiasi.. soma zaidi
a.gif Ni fadhila gani inayoondoa ulafi?
Fadhila inayoondoa ulafi ni kadiri na kiasi.. soma zaidi
a.gif Hasira ni nini?
Hasira ni kukasirika bure kuonea na kulipiza kisasi.. soma zaidi
a.gif Ni fadhila ipi yenye kuondoa hasira?
Fadhila inayoondoa hasira ni fadhila ya upole.. soma zaidi
a.gif Uvivu ni nini?
Uvivu ni uregevu wa moyo unaotufanya tukose juhudi.. soma zaidi
a.gif Fadhila inayoondoa uvivu ni ipi?
Fadhila inayoondoa uvivu ni utendaji.. soma zaidi

⏬⏬Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu 👉Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?👇

• Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?, soma jibu

• Vilema ni nini?, soma jibu

• Vichwa au Mizizi ya dhambi ni ipi?, soma jibu

• Majivuno ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila gani inayoondoa majivuno?, soma jibu

• Ubahili ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila gani inayoondoa ubahili?, soma jibu

• Uchafu ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila ipi inayoondoa uchafu?, soma jibu

• Wivu ni nini?, soma jibu

• Ulafi ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila gani inayoondoa ulafi?, soma jibu

• Hasira ni nini?, soma jibu

• Ni fadhila ipi yenye kuondoa hasira?, soma jibu

• Uvivu ni nini?, soma jibu

• Fadhila inayoondoa uvivu ni ipi?, soma jibu

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Hakuna Binadamu anayemchukia Mungu kama hajichukii yeye mwenyewe na wale wanaomzunguka. Huwezi kusema humtaki Mungu kama hujichukii mwenyewe na wale waliokuzunguka vivyo hivyo huwezi kusema Unampenda Mungu kama hupendi wengine waliokuzunguka."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Je Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?
Mapokeo kuhusu Bikira Maria yanaonyesha alikuwa binti pekee wa wazee watakatifu Yohakimu na Ana. Vilevile
Mt. Yosefu, ingawa kisheria alikuwa mume wake, hakutenda naye tendo la ndoa hata moja. Ndiyo maana kwenye
litania yake tunamuita mwenye usafi kamili. Yosefu likufa kabla Yesu hajaanza utume kwa kubatizwa kwenye mto
Yordani. Sisi tunasadiki Maria ni “Bikira daima”… soma zaidi
a.gif MAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA BIKIRA MARIA
Sisi Wakatoliki nyakati hizi zilizojaa madhehebu mbalimbali ya Kikristo, yanayotumia Biblia na kuitafsiri kadiri ya
imani yao ama wenyewe wanavyojisikia kwa namna fulani, tunajikuta tukichanganyikiwa na pengine kuona aibu ya
kumheshimu Mama Bikira Maria. Tunapoanza kuchunguza nafasi yake katika fumbo la ukombozi wa mwanadamu,
tunakiri pamoja naye kuwa ni Mwenyezi Mungu aliyemtendea makuu (Lk 1:49). Halafu tunakiri kwa unyenyekevu
wote pamoja na Yohane Mbatizaji, “Mtu hawezi kuwa na kitu asipopewa na Mungu” (Yoh 3:27). Hivyo yale yote
tunayoyasadiki kuhusu Bikira Maria, hakujipatia mwenyewe bali amejaliwa na Mwenyezi Mungu na kuitikia kwa
hiari fumbo la mpango wake… soma zaidi
a.gif JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?
Mpenzi msomaji, kumekuwa na tuhuma nyingi dhidi ya wakatoliki kwamba wanaabudu sanamu. Je, tuhuma hizo zina ukweli gani? Hilo ndilo swali tunalotaka kujibu leo… soma zaidi
a.gif Swali la kutisha
SWALI LA KUTISHA: *Ikiwa ela unayotoa kanisani ingetumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? Nauliza tu, wengi tunaweza kuwa wakimbizi mbinguni*.. soma zaidi
a.gif Maswali na majibu kuhusu Malaika
Mambo ya Msingi kujua kuhusu Malaika;.. soma zaidi
a.gif Rozari ya Huruma ya Mungu

Uisali daima rozari hii niliyokufundisha. Na yeyote atakayeisali Rozari hii atajaliwa kupata Huruma Kuu ya Mungu saa ya kufa kwake, hata wakosefu shupavu wakisali Rozari hii, hata kama ni mara moja tu, wataipata Huruma Yangu isiyo na mwisho. Kwa njia ya Rozari hii, unaweza kuomba chochote na utakipata, bora tu kipatane na mapenzi yangu. Ninataka dunia nzima iijue Huruma Yangu isiyo na mwisho. Nami ninataka kuwapa neema nyingi wale wanaoitukuza Huruma Yangu, hata neema zile wasizofikiria kuzipata”. Maneno ya Yesu kwa Sista Faustina.. soma zaidi


a.gif Ujumbe kwa wakina dada
Dada, Mwanaume mwenye busara hashawishiki na Uzuri ulionao, umbile lako, mawigi na mitindo ya nywele unayobadilisha kila siku, wala kwa rangi yako hiyo ya kizungu uliyoinunua dukani kwa sh 3500… soma zaidi
a.gif Maswali na majibu kuhusu Vishawishi
Kuhusu vishawishi soma hapa;.. soma zaidi
a.gif Mambo ya kufahamu katika kipindi cha kwaresima
Kwa kipindi cha Kwaresma haya ndiyo mambo muhimu unayopaswa kuyajua… soma zaidi
a.gif Zingatia hili kuokoa nafsi yako
Kundi la watu lilikwenda mahali wakakuta mawe yamezagaa. Ghafla wakasikia sauti ikisema: "Atakaeokota atajuta na asiyeokota atajuta,".. soma zaidi
a.gif Mungu ni Mkubwa
Mtoto mmoja alimuuliza baba yake. "Baba, hivi Mungu ni mkubwa kiasi gani?" Baba yake akatazama juu angani akaona ndege ya abiria akamuuliza mwanae "mwanangu, ile ndege ina ukubwa Gani?" Mtoto akajibu ni ndogo sana.
Basi Baba yake akamchukua hadi uwanja wa ndege walipofika karibu na ndege akamuonesha ndege akamuuliza " ile ndege ina ukubwa gani?? Mtoto akajibu "Hiyo Ndege ni Kuuuubwa sana" basi Baba yake akamwambia.. soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

• Je Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?, isome hapa

• Tujifunze kitu hapa, isome hapa

• JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?, isome hapa

• Je Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?, isome hapa

• MAFUNDISHO KUHUSU NAFASI YA MAMA BIKIRA MARIA, isome hapa

• JE, WAKATOLIKI WANABUDU SANAMU?, isome hapa

• Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari, isome hapa

• Swali la kutisha, isome hapa

• Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu, isome hapa

• Tujifunze kitu hapa, isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Ni fadhila ipi yenye kuondoa wivu?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Mtakatifu-Justin-mfiadini.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Justin mfiadini.
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Justin mfiadini hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20181021_135546.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mungu ni mwenye Huruma. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!