Ungepaswa kusoma kwanza haya;

Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?

Alama zinazowakilisha Roho Mtakatifu ni hizi; Maji, Mpako wa mafuta, Moto, wingu, tendo la kuweka mikono, njiwa

Maswali ya kuendelea

⏬⏬Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu 👉Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?👇

• Roho Mtakatifu ana nafasi gani katika sala?, soma jibu

• Kusadiki kwa Roho Mtakatifu maana yake ni nini?, soma jibu

• Majina mengine ya Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu

• Neno Manabii maana yake ni nini?, soma jibu

• Roho Mtakatifu aliwashukia Mitume siku gani?, soma jibu

• Roho Mtakatifu aliwafanyia nini Mitume?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anatufanyia nini sisi Wakristo?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anatutakasa kwa namna gani?, soma jibu

• Maandiko Matakatifu ndiyo nini?, soma jibu

• Roho Mtakatifu ni nani?, soma jibu

• Je, kazi zote za Roho Mtakatifu zinahusiana na Yesu?, soma jibu

• Kumpokea Roho Mtakatifu maana yake nini?, soma jibu

• Tukimpokea Roho Mtakatifu papo hapo tunapokea pia nini?, soma jibu

• Je, tunaweza kuhakikisha neema ya utakaso?, soma jibu

• Je, karama ni zile za kushangaza tu?, soma jibu

• Karama nyingine muhimu zinatuwezesha kufanya nini?, soma jibu

• Karama zinagawiwa vipi?, soma jibu

• Karama za kushangaza zina hatari gani?, soma jibu

• Tunda la kuongozwa na Roho Mtakatifu ni lipi?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anatusaidiaje kusali?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anaweza kutufikisha hadi wapi?, soma jibu

• Sakramenti ya Kipaimara ni nini?, soma jibu

• Nini maana ya Roho Mtakatifu?, soma jibu

• Je, Roho Mtakatifu Katika mfano wa ndimi za Moto Maana yake nini?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anawafanyia Waamini nini?, soma jibu

• Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu Anatutakasa?, soma jibu

• Ni kwa namna gani Roho Mtakatifu anatenda kazi zake?, soma jibu

• Kwa nini Sakramenti hii inaitwa Kipaimara?, soma jibu

• Roho Mtakatifu anakuja kufanya nini rohoni mwetu kwa Kipaimara?, soma jibu

• Mapaji Saba ya Roho Mtakatifu ndio nini?, soma jibu

• Mapaji saba ya Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu

• Hekima ni nini?, soma jibu

• Akili ni nini?, soma jibu

• Shauri ni nini?, soma jibu

• Nguvu ni nini?, soma jibu

• Elimu ni nini?, soma jibu

• Ibada ni nini?, soma jibu

• Uchaji wa Mungu ni nini?, soma jibu

• Roho Mtakatifu hutajwa wapi katika Rozari?, soma jibu

• Kabla ya Kupaa mbinguni Yesu aliwaahidi nini Mitume?, soma jibu

• Je, Yatupasa kumwomba Roho Mtakatifu?, soma jibu

• Matunda ya kuongozwa na Roho Mtakatifu ni yapi?, soma jibu

• Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake, soma jibu

Usisahau kulike na kushare makala hii uliyoisoma kuhusu; Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?. Share Facebook, Twitter bila kusahau WhatsApp.

Ujumbe wangu kwako kwa sasa wa Kutafakari

"Mungu ni Mwaminifu Sana na mwenye mipango na subira katika kila kitu hasa Sala na maombi yetu kwake. Tunaposali leo Mungu anatusikia na kujibu leo, kesho au hata miaka kumi ijayo. Inawezekana hata baraka zako za leo ni majibu ya Sala zako miaka kumi iliyopita. Sali bila kuchoka kwani hujui Sala zako zitakusaidia lini. Usitegemee majibu ya Sala zako wakati huo huo, amini katika uaminifu wa Mungu kwani anajua lini ni siku sahii ya kukujibu."

Mungu Akubariki Daima. Tukumbukane katika sala.

Endelea kusoma makala hizi;

a.gif Swali la kutisha
SWALI LA KUTISHA: *Ikiwa ela unayotoa kanisani ingetumika kujenga nyumba yako mbinguni, ingekuwa imefikia wapi hivi sasa? Nauliza tu, wengi tunaweza kuwa wakimbizi mbinguni*.. soma zaidi
a.gif Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu
Kijana mmoja alisafiri kwa meli na rafiki zake,
wakiwa katikati ya safari yao meli ilianza
kuzama. Watu wengi pamoja na rafiki wa yule
kijana walikufa maji wakati wanajaribu kujiokoa
kwa kuogelea, lakini yule kijana alifanikiwa
kushika ubao ulioelea majini akaanza kuelea nao,
maji yalimpeleka hadi kisiwa cha mbali sana
ambako hakukuwa na watu wala wanyama
isipokuwa wadudu tu! Alifika ufukweni amechoka
sana na asiyeamini tukio lililotokea, akaishi huko
kwa kula matunda… soma zaidi
a.gif Tujifunze kitu hapa
Siku moja mwanamke alitoka nje ya nyumba na kuwaona wazee watatu wenye mvi kichwani wakiwa wamekaa nje ya nyumba yake.
Hakuwatambua na wala hakuwa anawafahamu… soma zaidi
a.gif Kuumbwa kwa mtu, Mungu alivyoumba binadamu
Mtu ni kiumbe pekee chenye mwili na roho kilichoumbwa kwa sura na mfano wa Mungu. Mungu alipotaka kumuumba mtu alisema "Tumfanye mtu kwa mfano wetu na sura yetu" (Mwa. 1:26-27).. soma zaidi
a.gif Siri ya kamba nyekundu
Miaka zaidi ya 3000 iliyopita katika mji wa Yeriko alikuwepo mwanamke mmoja kahaba, jina lake Rahabu. Huyu mwanamke aliwaokoa wapelelezi wa Israel waliotumwa kwenda kufanya uchunguzi ktk nchi yao… soma zaidi
a.gif Litania ya Huruma ya Mungu
Litania ya Huruma ya
Mungu.. soma zaidi
a.gif Kwa nini Bikira Maria hakuwa anaombwa akiwa hai? Watu na mitume hawakuwa wanasali kumuomba yeye
Bikira Maria hakuwa anaombwa akiwa hai kwa sababu alikua bado hajatukuzwa na kupewa cheo cha Umalkia wa Mbinguni… soma zaidi
a.gif Kwa nini tarehe ya Pasaka hubadilika
KALENDA za mwanzo ziliutumia mwezi wa
angani kama kipimo cha muda. Ziliitwa
“Lunar calender” au Kalenda-Mwezi. Tarehe 1
ya Mwezi ilikuwa ni siku ulipoandama yaani
Mwezi-Mdogo (Crescent Moon).
Mwezi unapofika siku ya 15 unakuwa
umefikia ukubwa wa juu na huitwa Mwezi-
Mkubwa (Full Moon). Hivyo kwa kalenda ile
tarehe 15 ilikuwa ni siku ya Mwezi-Mkubwa.
Mwaka 45KK, Julius Caesar alitangaza
kalenda mpya ikaitwa “Julian Calender” iwe
na siku 365. Wakati huo ikijulikana kwamba
jua huzunguka kwa siku 365.25. Hivyo pengo
la kalenda na mzunguko likabaki robo siku… soma zaidi
a.gif Mahusiano yanayopelekea Ndoa Takatifu
BY MWL Gasto
Soma had mwisho kuna kitu
KWA NINI UMEINGIA KWENYE MAHUSIANO?
JE ILI UPENDWE>?JE UMEINGIA KWENYE
MAHUSIANO ILI KUJAZA PENGO AMBALO LI
WAZI? UMEINGIA KWENYE MAHUSIANO ILI
UFANANE NA WENGINE WALIO KWENYE
MAHUSIANO? JE UMEINGIA KATIKA MAHUSIANO
ILI KUUMALIZA UPWEKE ULIOKUA NAO?
UMEINGIA ILI UWEZE KUWA NA MTU
UNAYEWEZA KUMUITA MPENZI?
Je ili kumaliza mgandamizo wa kuachika ama
mawazo yeyote?ILI kumkomoa yeyote uliyekuwa
nae kwenye mahusiano?ili
uolewe?au umeanzisha mahusiano kwa sababu muda umeenda?…….
Kama hizi ni sababu za kuingia katika
mahusiano,basi tambua kuwa mahusiano hayo
yatakusumbua sana,na itafika wakati utatoa
maana mbaya ya mahusiano…..na kumbe wewe
ndiye muanzilishi mkuu wa
kuteswa,kuumizwa,kupigwa,kudhalilishwa,kutot
haminika…na wewe ndiye unayetoa ruhusa ya
yote hayo…
Kila mmoja wetu ana uhuru wa kuchagua…usio
na mipaka.Na kila unachokichagua ni
chema…..ni chema kwako….lakini ukumbuke
kila uchaguzi unaoufanya una madhara yake
(yenye faida na yasiyo na faida kwako……….. soma zaidi
a.gif Je Bikira Maria Alizaa Watoto Wengine?
Mapokeo kuhusu Bikira Maria yanaonyesha alikuwa binti pekee wa wazee watakatifu Yohakimu na Ana. Vilevile
Mt. Yosefu, ingawa kisheria alikuwa mume wake, hakutenda naye tendo la ndoa hata moja. Ndiyo maana kwenye
litania yake tunamuita mwenye usafi kamili. Yosefu likufa kabla Yesu hajaanza utume kwa kubatizwa kwenye mto
Yordani. Sisi tunasadiki Maria ni “Bikira daima”… soma zaidi

Fwatilia Website hii kwenye Email yako. Ingiza Email yako hapa kisha Bofya SUBSCRIBE na ufuate maelekezo

Ikiwemo Makala hii ya Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?, makala nyingine zinazosomwa sana ni kama ifuatavyo;

• Maswali na majibu kuhusu Amri za Kanisa, isome hapa

• Mafundisho kuhusu Hukumu ya Mwisho, isome hapa

• MIUJIZA NA MATOKEO YA MUNGU NA WATAKATIFU, isome hapa

• Mafundisho ya kumfundisha mtu mzima kabla ya ubatizo wa hatari, isome hapa

• Swali la kutisha, isome hapa

• Soma hii stori unaweza ukajifunza kitu, isome hapa

• Tujifunze kitu hapa, isome hapa

• Kuumbwa kwa mtu, Mungu alivyoumba binadamu, isome hapa

• Kuumbwa kwa Dunia, isome hapa

• Mtakatifu Teresa (Teresia) wa Mtoto Yesu (wa Lisieux), isome hapa

Unaweza kusoma makala mpya nzuri kila unapotembelea website hii wakati wowote. Baada ya kusoma makala hii kuhusu; Ni alama zipi zinawakilisha Roho Mtakatifu?, sasa endelea kusoma makala hizi nyingine nzuri nilizokuandalia;

Mtakatifu-Teresa-wa-Yesu-Avila.jpg

Mtakatifu wa Sasa
Leo tunatafakari na kujifunza kutoka kwa Mtakatifu Teresa (Teresia) wa Yesu (Avila).
Soma zaidi kuhusu Mtakatifu Teresa (Teresia) wa Yesu (Avila) hapa.

Chagua aina ya mafundisho unayotaka kusoma hapa..

.

.

IMG_20170703_130519.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Mungu ni mwenye haki. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!