YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Neno "BIBLIA" maana yake ni nini?πŸ‘‡

Neno "BIBLIA" ni neno linalotokana na neno la Kigiriki "Biblion" lenye maana ya vitabu.

Biblia ni Mkusanyiko wa vitabu mbalimbali vya dini vilivyochaguliwa na kuidhinishwa kua vyafaa kutumika.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Neno "BIBLIA" maana yake ni nini?πŸ‘‡

πŸ“Œ Je, Biblia zote ni sawa?βœ…

πŸ“Œ Vitabu vya Musa ni vipi?βœ…

πŸ“Œ Injili ni nini?βœ…

πŸ“Œ Watoto wa Nuhu ni wepi?βœ…

πŸ“Œ Watoto wa Yakobo ni Wepi?βœ…

IMG_20180125_211302.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Sala pasipo Imani thabiti, ya nia ya kweli, upendo wa kweli, unyenyekevu wa ndani na tumaini la kweli katika Amani ya rohoni; Haijakamilika na haifai kitu.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!