YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Neema ya Utakaso yapatikanaje?πŸ‘‡

Neema ya Utakaso yapatikana kwa;

1. Kwanza kwa Sakramenti ya Ubatizo

2. Sakramenti ya Kitubio

3. Kwa majuto kamili (majuto ya mapendo)

4. Yaongezwa kwa kupokea Sakramenti nyingine

5. Kwa Sala

6. Kwa Ibada Takatifu

7. Kwa matendo mema

βͺSwali lililopita: Neema ya Utakaso ni nini?
⏩Swali linalofuata: Neema ya Utakaso yapoteaje?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Neema ya Utakaso yapatikanaje?πŸ‘‡
SASA.gif