YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vingapi?πŸ‘‡

Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vitano ambavyo ni;

1. Majilio = Majuma manne

2. Noeli = Kuzaliwa hadi Epifania

3. Kwaresma = Majuma sita na Juma Kuu

4. Pasaka = Siku ya Pasaka hadi Pentekoste

5. Kipindi cha mwaka majuma 34

⏩Swali linalofuata: Majilio ni nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Mwaka wa Kanisa una vipindi vikubwa vingapi?πŸ‘‡
uliyesoma.gif