YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Mungu ametuagiza matendo maalumu ya ibada kwa sababu gani?πŸ‘‡

Mungu ametuagiza matendo maalumu ya ibada kwa kuzingatia umbile letu, kwamba binadamu ni umoja wa roho na mwili, hivyo anahitaji mwili na hisi zake ili kuingiza chochote rohoni na kutokeza yaliyomo katika roho yake isiyoonekana. Ndiyo sababu Yesu alipoletewa kiziwi mwenye utasi β€œakatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa ulimi, akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, β€˜Efatha’, maana yake, β€˜Funguka!’” (Mk 7:33-34). Hizo zote ni ishara wazi kwa milango yetu ya fahamu.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Mungu ametuagiza matendo maalumu ya ibada kwa sababu gani?πŸ‘‡

πŸ“Œ Masifu ni nini?βœ…

πŸ“Œ Tumuadhimishe nani?βœ…

πŸ“Œ Hekalu ndiyo nini?βœ…

πŸ“Œ Maana ya baraka ni ipi?βœ…

πŸ“Œ Mazinguo ndiyo nini?βœ…

uliyesoma.gif