YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Mungu aliumbaje vyote?πŸ‘‡

Mungu aliumba vyote kwa kutaka tu, bila ya kutumia chochote. β€œNakusihi, mwanangu, inua macho yako utazame mbingu na nchi, ukaone vitu vyote vilivyomo; fahamu kwamba Mungu hakuviumba kwa vitu vilivyokuwapo. Na ndivyo alivyofanya wanadamu pia” (2Mak 7:28). Umuambie: β€œNajua ya kuwa waweza kufanya mambo yote, na ya kuwa makusudi yako hayawezi kuzuilika” (Ayu 42:2).

βͺSwali lililopita: Asili ya uhai wote ni nani?
⏩Swali linalofuata: Kwa nini Mungu aliumba vyote?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Mungu aliumbaje vyote?πŸ‘‡
Slide2-mabesti-utotoni.PNG