YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Mtu akitaka kupata Rehema za Kanisa Katoliki yampasa nini?πŸ‘‡

Mtu akitaka kupata Rehema za Kanisa Katoliki yampasa;

1. Kujua na kufuata utaratibu unaotolewa na Kanisa Katoliki wa kupata Rehema

2. Awe katika hali ya neema ya Utakaso

3. Kufanya matendo yote yanayotakiwa kwa kupata rehema hiyo, kwa mfano;

a). Hija au Kuhiji katika mwaka wa Jubilei katika Kanisa lililo teuliwa na Askofu
b). Kufanya mafungo - Kama vyama vya kitume
c). Kuzuru makaburi (Kutembelea) yaliyobarikiwa
d). Katika hatari ya kufa padri hutoa rehema pamoja na Sakramenti ya wagonjwa
e). Kusali kwa nia za Baba Mtakatifu

βͺSwali lililopita: Kipimo cha Rehema ni nini?
⏩Swali linalofuata: Neno "BIBLIA" maana yake ni nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Mtu akitaka kupata Rehema za Kanisa Katoliki yampasa nini?πŸ‘‡
mtu.gif