YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Website Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Mtaguso Mkuu unasema nini kuhusu kusudi la maisha ya Utawa?πŸ‘‡

Kusudi la maisha ya Utawa ni;

1. Kutoa Ushuhuda wa Kristo na Kanisa na kutimiza mapenzi ya Mungu

2. Kujitoa kwa Kanisa ambapo kwa Jina la Mungu Kanisa linapokea Nadhiri za Mtawa, Linazilinda kwa Sheria yake, kuzilisha kwa Sakramenti na Mafundisho yake.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Mtaguso Mkuu unasema nini kuhusu kusudi la maisha ya Utawa?πŸ‘‡
New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif