YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Msimamizi wa ubatizo ana wajibu gani?πŸ‘‡

Msimamizi wa ubatizo ana wajibu hizi;

1. Kutoa mfano mzuri wa maisha ya Kikristo

2. Kumuongoza mbatizwa katika maisha ya Ukristo

3. Kumuombea mbatizwa

4. Kushirikiana na wazazi katika malezi

⏩Swali linalofuata: Sakramenti ya Kitubio ni nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Msimamizi wa ubatizo ana wajibu gani?πŸ‘‡
Marafiki-wa-enzi.GIF