YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?πŸ‘‡

Mambo hayo ni;

1. Dhambi

2. Vilema

3. Vishawishi

βͺSwali lililopita: Ufanyeje ushinde vishawishi?
⏩Swali linalofuata: Dhambi ni nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Mambo yanayomzuia mtu kuishi maisha mema ni yapi?πŸ‘‡

πŸ“Œ Yesu ni Mungu au mtu?βœ…

πŸ“Œ Kishawishi ni nini?βœ…

πŸ“Œ Kishawishi ni dhambi?βœ…

πŸ“Œ Dhambi ni nini?βœ…

πŸ“Œ Dhambi ya mauti ni nini?βœ…

πŸ“Œ Dhambi nyepesi ni nini?βœ…

πŸ“Œ Vilema ni nini?βœ…

πŸ“Œ Majivuno ni nini?βœ…

πŸ“Œ Ubahili ni nini?βœ…

πŸ“Œ Uchafu ni nini?βœ…

πŸ“Œ Wivu ni nini?βœ…

πŸ“Œ Ulafi ni nini?βœ…

πŸ“Œ Hasira ni nini?βœ…

πŸ“Œ Uvivu ni nini?βœ…

πŸ“Œ Majuto kamili ni nini?βœ…

πŸ“Œ Kuungama ni kufanya nini?βœ…

IMG_20180125_205707.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Kumtafuta Mungu ni jukumu la mtu binafsi na nafsi yake. Huwezi kumfuata Mungu kwa kufwata njia ya wengine. Njia yako ya kukuwezesha kumfikia Mungu ni tofauti na wengine, Kwa maana Mungu amemwita kila mtu kwa namna ya kipekee.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!