YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Mambo gani yanavunja amri ya kwanza ya Mungu?πŸ‘‡

Mambo hayo ni;

1. Kuabudu sanamu

2. Kufanya matambiko

3. Kwenda kwa waganga

4. Kupiga bao au ramli

5. Kuvaa hirizi

6. Kushiriki mambo ya kichawi n.k.

βͺSwali lililopita: Ni nanai ana kosa kumuabudu Mungu?
⏩Swali linalofuata: Ni nini maana ya kuabudu sanamu?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Mambo gani yanavunja amri ya kwanza ya Mungu?πŸ‘‡
tafuta-rafiki.gif