Malaika alimsalimia Maria β€œumejaa neema”: maana yake nini?

Malaika alimsalimia Maria β€œumejaa neema” (Lk 1:28) maana ndiye tunda bora la ukombozi ulioletwa na Yesu. Kwa stahili za Mwanae alikingiwa asirithi kwa wazazi dhambi ya asili na madonda yanayotokana nayo, wala asitende dhambi maisha yake yote.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Malaika alimsalimia Maria β€œumejaa neema”: maana yake nini?πŸ‘‡

πŸ“Œ Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria kukingiwa dhambi ya asili maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mama wa Yesu ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria anafaida yeyote kwa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Hapa duniani Yesu alizaliwa na nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu”?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Maria amechangia wokovu wetu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Maria ni mama yetu pia?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ni vizuri kumsifu Maria?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, sala inaweza kuwaendea Mama na marafiki wa Yesu (Watakatifu)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Bikira Maria alikua na watoto wengine Mbali na Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wazazi wa Bikira Maria ni nani?, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

IMG_20181021_135203.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Njia ya Kumtafuta Mungu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!