Lengo kuu la visakramenti ni lipi?

Lengo kuu la visakramenti ni kuwaandaa watu wapokee kwa imani sakramenti zitakazowatia uzima wa Mungu unaodumu milele. Hivyo visakramenti visitiwe maanani kuliko sakramenti zilizowekwa na Yesu mwenyewe ziwe kiini cha maisha yetu. β€œAmin, amin, nawaambieni: Ninyi mnanitafuta, si kwa sababu mliona ishara, bali kwa sababu mlikula ile mikate mkashiba. Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hata uzima wa milele, ambacho Mwana wa Adamu atawapa” (Yoh 6:26-27). Sakramenti zinatujaza baraka na kutukinga kuliko kisakramenti chochote.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Lengo kuu la visakramenti ni lipi?πŸ‘‡

πŸ“Œ Kanisa linatoa visakramenti kwa nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Visakramenti ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini tunatumia Visakramenti?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni visakramenti gani hutumika mara nyingi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tuvitumie visakramenti kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tuchukue tahadhari gani tunapotumia visakramenti?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nini faida ya Visakramenti?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

IMG_20180108_172912.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Furaha ya Binadamu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!