YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Unamashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

By Melkisedeck Leon Shine

.

πŸ‘‰β” Kwa Sakramenti ya Daraja Padri anapata mamlaka gani?πŸ‘‡

Kwa Sakramenti ya Daraja Padri anapata mamlaka ya

1. Kuadhimisha sadaka ya Misa Takatifu na kutakasa watu kwa njia ya Sakramenti.

2. Kuhubiri neno la Mungu

3. Kuwaongoza watu (Ebr 5:1-4)

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Kwa Sakramenti ya Daraja Padri anapata mamlaka gani?πŸ‘‡

πŸ“Œ Askofu ni nani?βœ…

πŸ“Œ Baba Mtakatifu ni nani?βœ…

IMG_20180108_172508.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

Njia pekee ya Kumrudia Mungu tunapoanguka dhambini ni Njia ya Toba ya kweli ikiambatana na kukiri makosa na kusamehewa. Mara nyingi tunapotubu tunasahau dhambi za mawazo na kukumbuka za matendo tuu. Dhambi ya Mawazo pia ni dhambi yapaswa toba na maondoleo.

Mungu Akubariki Daima… Tuombeane!