YESU%20MFALME%20WA%20HURUMA.gif

Blog Kwa Wakatoliki

HOME | MAKALA | TAFAKARI | SALA | MAFUNDISHO | MIUJIZA | WATAKATIFU | NYIMBO | PICHA | MAKTABA/LIBRARY | BIKIRA MARIA | KUHUSU SANAMU | KUHUSU KANISA

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

.

πŸ‘‰β” Kwa sababu gani yatupasa kuwaheshimu Baba na Mama?πŸ‘‡

Yatupasa kuwaheshimu Baba na Mama kwa sababu;

1. Wameshirikiana na Mungu kutuleta duniani walipotuzaa

2. Wamewekwa na Mungu ili watulee na kutuongoza Mbinguni

3. Mungu ameamuru tuwapende wazazi mara baada ya Yeye. (Ayu 3:1-9)

βͺSwali lililopita: Amri ya Nne ya Mungu tumeamriwa nini?
⏩Swali linalofuata: Wazazi na wakubwa wameamriwa nini?
⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Kwa sababu gani yatupasa kuwaheshimu Baba na Mama?πŸ‘‡
ml.gif