Kwa sababu gani yatupasa kuwa na usafi wa moyo?

Yatupasa kuwa na usafi wa moyo kwa sababu:

1. Mungu awapenda hasa wenye usafi wa moyo. (Mt 5:8)

2. Sisi Wakristo ni Hekalu la Roho Mtakatifu. (1Kor 3:16-17)

βͺSwali lililopita: Usafi wa Moyo ndio nini?

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Kwa sababu gani yatupasa kuwa na usafi wa moyo?πŸ‘‡

πŸ“Œ Katika Amri ya Sita na Tisa Mungu ametuamuru nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Usafi wa Moyo ndio nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tumekatazwa nini ili tulinde usafi wa moyo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika Amri ya Tisa ya Mungu tumekatazwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Dhambi za uchafu huleta hasara gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tulinde usafi wa Moyo namna gani?, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

IMG_20180125_205658.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Upendo na Matamanio ya Mungu kwa Wanadamu. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!