Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?

Tunaweka sanamu Kanisani kwa sababu tunaheshimu anayewakilishwa na sanamu hiyo kwa mfano Yesu Kristo, Mama Bikira Maria, Malaika na Watakatifu; na kamwe hatuziabudu. (Kutoka 25:18-22)

Hata Waisraeli kwenye hekalu lao walikua na sanamu kama tunavyosoma hapa "18 Nawe fanya makerubi mawili ya dhahabu; uyafanye ya kazi ya kufua, katika hiyo miisho ya kiti cha rehema, huku na huku. 19 Weka kerubi moja mwisho mmoja, na kerubi la pili mwisho wa pili; fanya hayo makerubi ya kitu kimoja na kiti cha rehema, mwisho huku na mwisho huku.20 Na hayo makerubi yatainua mabawa yao juu, na kukifunika hicho kiti cha rehema kwa mabawa yao, na nyuso zao zitaelekeana hili na hili; nyuso za hayo makerubi zitaelekea kiti cha rehema. 21 Weka kiti cha rehema juu ya hilo sanduku, kisha utie huo ushuhuda nitakaokupa ndani ya sanduku. 22 Nami nitaonana nawe hapo, na kuzungumza nawe pale nilipo juu ya kiti cha rehema, katikati ya hayo makerubi mawili yaliyo juu ya sanduku la ushuhuda, katika mambo yote nitakayokuagiza kwa ajili ya wana wa Israeli. (Kutoka 25 :18-22.)"

Kwa hiyo kama Mungu mwenyewe aliagiza Sanamu za Malaika zichongwe na kusema atakua hapo na kuongea na watu wake. Je sio vyema zaidi kuwa na sanamu na Picha ya Mwanae wa Pekee Yesu Kristo na kuongea na Mungu mbele yake kama alitaka ya malaika ambao sio Mungu?

Mfano mwingine ni pale Mungu alivyomwabia Musa achonge Sanamu ya Nyoka wa shaba. "BWANA akamwambia Mose, β€œTengeneza nyoka wa shaba na umweke juu ya mti, ye yote aliyeumwa na nyoka anaweza kumtazama na akaishi tena.’’ 9Kwa hiyo Mose akatengeneza nyoka wa shaba na kumweka juu ya mti. Kisha wakati mtu ye yote alipoumwa na nyoka, naye akamtazama yule nyoka wa shaba, aliishi." (Hesabu 21:8-9).

Kwa Mfano huu Je tunaweza kusema kuwa sanamu ya nyoka ina nguvu ya uponyaji kuliko ya Yesu aliye Mungu? Kumbuka hapa watu walioona sanamu hii ya nyoka hawakukoponywa na nguvu ya sanamu ya shaba bali kwa nguvu ya neema ya Mungu kupitia Imani kwa Mungu. Kwa hiyo unaposali mbele ya picha au sanamu hautegemei nguvu ya sanamu bali unategemea neema ya Mungu kwa njia ya Imani yako kwa Mungu.

Kama vile Sanamu hii ya nyoka aliyoagiza Mungu iwekwe ilivyowekwa kwa nia ya uponyaji kwa yule aitazamaye vivyo hivyo Sanamu na Picha za Kanisani zinawekwa kwa nia maalumu na kwa neema maalumu. Ndiyo maana hazifanani. Na zinabarikiwa kwa kuombewa Baraka Ili zizae neema kwa wanaozitumia.

Sanamu au picha sio haramu bali maana ya hiyo sanamu au picha ndio inaiharamisha.

Kuna tofauti kati ya kuabudu na kuheshimu. Wakatoliki wanaweka sanamu kwa heshima na sio kwa kuabudu, ndio maana unaposali mbele ya picha ya Yesu hausali ee sanamu nisaidie bali unasema ee Yesu nisaidie.

Je tuseme tunamwabudu Raisi kwa kuheshimu picha yake kwa kuiinamia? Je tunaabudu bendera kwa kuheshimu na kupigia saluti? Je taratibu zabunge za kutoa heshima na taratibu za mahakama ni kuabudu?. Je kuapa mbele ya picha ya Raisi ni kumuabudu Raisi? Je kuapa na Biblia ni kuabudu Biblia? Je tunapobusu Biblia na kuitunza kwa heshima tunaiabudu? Tofauti ya Biblia na sanamu ni nini? Je, kwenye Biblia kinachoheshimiwa ni karatasi au maana ya yale maneno kwenye karatasi. Pengine usingeheshimu kama hujajua kuyasoma.

Kuna tofauti gani kati ya biblia yenye Maandishi na msalaba wa kuchonga wenye kuonyesha kile kinachosemwa na biblia? kama unaweza kuheshimu biblia yenye karatasi tena pale unapoweza kuzisoma na pengine ungeizarau kama ni ya lugha tofauti na hujui kilichoandikwa? Je Msalaba uliobeba maana ya kile kilichoandikwa kwenye Biblia unaona si kitu? Kama Kinachoheshimiwa kwenye Biblia sio karatasi bali maana maneno yaliyoandikwa vivyo hivyo kinachoheshimiwa kwenye picha au sanamu sio chuma yake au mti ukiochongwa bali ni maana ya hiyo sanamu.

Hii ndio maana nasema kuna tofauti ya kuabudu na kuheshimu.

Kumbuka kuwa picha au sanamu yoyote ya Kikatoliki lazima ibarikiwe kwanza ndio uweze Kusali mbele yake. Inapobarikiwa inaombewa uwepo wa yule anayewakilishwa na picha/sanamu hiyo uwe pale sanamu ilipo na anayesali pale sala yake Ifike kwa mlengwa anayeonekana kwa ishara ya sanamu/picha. Kwa Mfano askofu au padri anapobariki sanamu ya Yesu anaomba kuwa "Yesu awepo pale kwenye sanamu na Neema zake", kwa hiyo yeyote anayesali mbele ya sanamu hiyo anaamini kuwa Yesu yuko pale na anasali Mbele yake. Kwa hiyo kinachopewa heshima sio ile sanamu bali ni yule anayeonekana kwa ishara ya ile sanamu au picha.

Tofauti ya Sanamu za Kikatoliki na za kipagani ni Kwamba,

Sanamu za Kipagani: Sanamu hizi huchukuliwa kama Mungu na huabudiwa na kutolewa Sadaka kama Mungu Mwenyewe.

Sanamu za Kikatoliki: Sanamu hizi huchukuliwa kama ishara ya kile inachokiwakilisha, haiabudiwi kamwe bali inaheshimiwa tuu.

Daima Tumia Sanamu na Picha zilizobarikiwa kwani zimenuiwa uwepo wa yule inayemuwakilisha na utaongea naye hapo. Sisi tunaamini kwamba kwenye Sanamu ya Yesu kuna uwepo wa Yesu. Kama vile Mungu anavyowaambia Waisraeli katika (Kutoka 25 :22) baada ya kuwaagiza wachonge sanamu za Makerubi (Malaika) 22 Nami nitaonana nawe hapo, na kuzungumza nawe pale nilipo juu ya kiti cha rehema, katikati ya hayo makerubi mawili yaliyo juu ya sanduku la ushuhuda, katika mambo yote nitakayokuagiza kwa ajili ya wana wa Israeli. (Kutoka 25 :22). Sanamu au picha ni ishara wazi ya uwepo wa kile kisichoonekana.

Jifunze kupitia Sanduku la Agano na Msalaba wa Yesu

Kwenye Agano la kale: Ndani ya hekalu la Waisraeli walikua na Sanduku la agano, sanduku hilo lilikua na vibao vya Amri za Mungu ambavyo ni Ishara ya Agano lao na Mungu na ndani ya sanduku kulikuwepo pia Mfano wa Kiti ambacho kimezugukwa na sanamu za viumbe kama malaika nyuso zao zikielekea kiti hicho Kutoka 25:10-22. Waisraeli walikua wanasali kuelekea sanduku la Agano wanapokuwa Hekaluni na hata wakiwa majumbani mwao walisali kuelekea upande lilipo Hekalu. Waisraeli walisali kuelekea Sanduku la Agano wakiamini kwamba Mungu yupo kati ya sanduku lile. Lakini sanduku lile halikuwa Mungu. Waisraeli waliona fahari juu ya Sanduku lile na walilithamini na kuliheshimu kwa kuwa lilionyesha uwepo wa Mungu na popote lilipokuwa waliamini Mungu yupo.

Kwenye Agano jipya: Wakristu wanasali Mbele ya Msalaba wa Yesu ambao unaonyesha kazi ya wokovu alioufanya Yesu kwa wanadamu ya Kuwakomboa watu kwa kifo chake Msalabani. Na Msalaba huo ni Ishara ya Ukombozi wa Agano jipya na la Milele. Kama ilivyokuwa kwa Sanduku la Agano, Wakristu wanaheshimu msalaba ambao ni ishara ya wokovu wao na wanaamini kuwa Mungu yupo kati ya Msalaba huo lakini Msalaba huo sio Mungu. Wakristu wanaona fahari juu ya msalaba wa Yesu kwa kuwa ndio ishara ya wokovu wao.

FUNZO:Kupitia Mfano wa Sanduku la Agano na Msalaba tunajifunza kuwa Vyote havikuwa Mungu ila vinaheshimiwa kwa Imani kuwa Mungu yupo pale. Vilevile, vyote ni ishara ya wazi ya Agano la Mungu na Wanadamu.

Kwa nini tunasali mbele ya Picha/Sanamu na Hasa kufanya Ishara ya msalaba?

Tunasali mbela ya sanamu kwa sababu tunaamini sanamu inaakisi uwepo wa mhusika aliyechorwa au kuchongwa kwenye hiyo sanamu/picha. Ndio maana wakatoliki wanasali kwenye picha au sanamu iliyobarikiwa tuu kwa sababu Sanamu inapobarikiwa inaombewa uwepo wayule anayewakilishwa pale.

Tunafanya ishara ya msalaba kwenye sanamu kama sala ya utangulizi ambayo inathibitisha kuwa hatuabudu kile kilichoko pale bali kile tunachokifanya tunakifanya huku tukikiri Umungu na Heshima ya Utatu Mtakatifu (Mungu; Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.). Vile vile tunamtukuza Mungu katika Utatu Mtakatifu kwa sababu ya yule anayewakilishwa na picha au sanamu.

Kwa nini watu wanabusu picha na sanamu?

Hii ni ishara ya Upendo kwa yule anayewakilishwa kwenye picha au sanamu husika. Hata katika maisha ya kawaida watu hubusu picha za wazazi na wapendwa wao. Maana ni ile ile.

⏬⏬ Endelea kusoma maswali haya yafuatayo ili kuelewa zaidi swali hili kuhusu πŸ‘‰Kwa nini wakatoliki wanaweka sanamu Kanisani?πŸ‘‡

πŸ“Œ Sala ya kanisa ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Masifu ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Vyanzo vya sala za Kikristo, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni ipi sala kubwa ya Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni ipi sala bora kwa Bikira Maria?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ishara ndogo ya Msalaba juu ya panda la uso, mdomo, na kifua kabla ya Injili ina maana gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Umwilisho maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linafafanuaje fumbo la umwilisho?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria kukingiwa dhambi ya asili maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa Katoliki ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni nini Msingi wa Imani na Mafundisho ya Kanisa Katoliki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni nani ameanzisha Kanisa Katoliki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu aliweka makanisa mangapi? Yesu hakufanya makanisa mengi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa kusudi gani Yesu alianzisha Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linatimiza kusudi la Yesu Kristo kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Alama za kanisa la kweli ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni Moja maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni Takatifu maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni Katoliki maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni la Kitume maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa ni la Kimisionari maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Yesu amemweka nani kuwa mkubwa wa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa Katoliki laweza kudanganya katika mafundisho yake?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Jimbo Katoliki ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tuwaonaje Wakristo ambao sio Wakatoliki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nje ya Kanisa Katoliki hakuna Wokovu maana yake ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Taifa la Mungu limeundwa kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maklero ni wakina nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Watawa ni akina nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Walei ni wakina nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ushirika wa Watakatifu ni nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mama wa Yesu ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria alimzaa Yesu Kristo kwa uwezo gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Mungu? Na kwa nini aheshimiwe?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni kwa nini Bikira Maria anaitwa Mama wa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bikira Maria anafaida yeyote kwa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Nafasi ya Heshima kwa Bikira Maria ni ipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika amri ya kwanza ya Mungu tumeamriwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wakatoliki tunamwabudu Mungu kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika amri ya kwanza ya Mungu tumekatazwa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, kuna viumbe ambavyo tunaviheshimu kwa kumtukuza Mungu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini yatupasa kuwaheshimu Watakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tuna ruhusa ya kuwaabudu Watakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je sanamu zimekatazwa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mfano wa sanamu takatifu ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni nanai ana kosa kumuabudu Mungu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mambo gani yanavunja amri ya kwanza ya Mungu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni nini maana ya kuabudu sanamu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kutokumuabudu Mungu ni kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mkatoliki anaabuduje?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je magoti yanayopigwa wakati mwingine tofauti na wakati wa kuabudu yana maana gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunawaheshimu Watakatifu namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mungu akiwa Roho, viungo ambavyo pengine anapewa vina maana gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Biblia zote ni sawa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunatambuaje Maandiko Matakatifu kati ya maandishi yote ya binadamu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sababu nyingine za Biblia kutojitosheleza ni zipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, inafaa tushike neno lolote la Agano la Kale kama Wayahudi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tueleweje Maandiko Matakatifu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ufunuo wa Mungu unaweza kufafanuliwa rasmi na kila mtu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tupokeeje ufunuo wa Mungu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunaweza kusadiki vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, miujiza inaweza kutusaidia tusadiki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linahusika vipi na imani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tukipata mafundisho ya Kanisa tunapaswa kuyasadiki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunapaswa kusadiki hasa nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Mungu amegawanyika sehemu tatu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Hapa duniani Yesu alizaliwa na nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Malaika alimsalimia Maria β€œumejaa neema”: maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini Maria anastahili kuitwa β€œMama wa Mungu”?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Maria amechangia wokovu wetu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Maria ni mama yetu pia?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ni vizuri kumsifu Maria?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa ni kundi la binadamu tu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tunaweza kuambatana na Yesu tukilikataa Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa ni muhimu kwa wote?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wokovu unapatikana wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mtu akijua Kanisa ni la lazima kwa wokovu asiingie au ajitenge nalo, itakuwaje?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, anayejiunga na Kanisa na kudumu ndani yake ana hakika ya kuingia mbinguni?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sifa kuu za Kanisa ni zipi na zinapatikana wapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa kuwa moja maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa kuwa takatifu maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa kuwa katoliki maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa kuwa la Mitume maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa limepewa na Yesu muundo gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Yesu amejenga Kanisa lake imara juu ya mwamba?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Papa amejaliwa na Mungu mamlaka gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maaskofu wote wamerithi mamlaka gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maaskofu wanasaidiwa na nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Bila ya Maaskofu, mapadri na mashemasi, Kanisa lingekuwaje?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Walei wanaitwa na Mungu kufanya nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Watawa wanashika mashauri gani ya Kiinjili?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ushirika wa watakatifu maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa linaweza kutuondolea dhambi yoyote?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tutakapofariki dunia itatutokea nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tumuadhimishe nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tumuadhimishe Mungu katika Nafsi zake tatu pia?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tumuadhimishe Mungu kwa jinsi alivyo au kwa maajabu anayotutendea?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tumuadhimishe Mungu hasa kwa maajabu gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tumuadhimishe Mungu kwanza kwa njia gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ibada zetu ziishie katika kusadiki?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linaitaje ibada hizo tulizoagizwa na Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tuishie katika kusadiki na kuadhimisha mafumbo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Matendo yetu yasipomtukuza Mungu, maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mungu ametuagiza matendo maalumu ya ibada kwa sababu gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, hisi zetu zote zinaweza kutumika kuadhimishia mafumbo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kwa nini maneno ndiyo muhimu zaidi kuadhimishia mafumbo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ishara za mafumbo zimetokana na nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maneno na ishara kwenye ibada vinaweza kubadilishwa na nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Faida ya kupanga taratibu za ibada ni ipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mhusika mkuu wa mafumbo hayo ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Sisi tunahusika na mafumbo hayo kama nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tunapoadhimisha mafumbo hayo, Mungu anatukuzwa vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, mafumbo yote saba yanazaa matunda yaleyale?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Tushiriki mafumbo hayo mara ngapi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, mafumbo yote yanaweza kuadhimishwa na yeyote?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, tunapoadhimisha mafumbo hayo tuko peke yetu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, kuna nyakati za kufaa zaidi kumuadhimishia Mungu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, kuna mahali pa lazima pa kumuadhimishia Mungu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Hekalu ndiyo nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, sanaa zinafaa kumuadhimishia Mungu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kati ya sanaa kwenye ibada/kumuadhimisha Mungu, muhimu zaidi ni ipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kuimba wakati wa ibada ni kazi ya nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Katika kutumia sanaa kwa ibada tuzingatie nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ni halali kuheshimu sanamu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wakati wa ibada tuvae vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, watoto wachanga wanaweza kubatizwa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mbona watoto wachanga hawawezi kuelewa kinachofanyika wakati wa ubatizo halafu wanabatizwa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, imani ya watu wazima inaweza kufaidisha watoto?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ubatizo wa watoto wachanga unafanyika tangu lini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ubatizo tuu unatosha?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ekaristi maana yake nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, divai (pombe) ni halali?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Hatimaye Yesu alitumia divai kufanyia nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ekaristi ni kafara (sadaka)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, padri akiwa mkosefu, anaweza kutuondolea dhambi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, daraja takatifu zinahitajiwa kabisa na Kanisa?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, wenye daraja wanastahili heshima?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mbali ya sakramenti, Kanisa linamuadhimisha Mungu vipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linamuadhimishaje Mungu tena?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Maana ya baraka ni ipi?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Mazinguo ndiyo nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kanisa linaheshimu marehemu kwa namna gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, ni halali kwa Wakristo kujitungia ibada nyingine?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni halali kujitungia ibada kwa sababu gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ikiwa sala ni maongezi ya Mungu na mtu, kwanza tufanye nini?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kielelezo cha sala yetu ni nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Kama binadamu Yesu alijifunza kusali kwa nani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, sala inaweza kuwaendea Mama na marafiki wa Yesu (Watakatifu)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Ni wakati gani katika Misa Mkate na Divai vinageuka Mwili na Damu yake Kristo?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Divai iliyotumiwa na Yesu ilikua na Kilevi (pombe)?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Kanisa linahimiza waamini wapokee Ekaristi wakati gani?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Biblia ni nini? Asili, Historia, waandishi na mipaka yake, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Je, Bikira Maria alikua na watoto wengine Mbali na Yesu?, soma jibu hapaβœ…


πŸ“Œ Wazazi wa Bikira Maria ni nani?, soma jibu hapaβœ…


.

.

.

IMG_20180108_172912.jpg

Kama Una mashaka na Imani na mafundisho ya Kanisa Katoliki soma hapa>>

Website hii inaletwa kwako na Melkisedeck Leon Shine.

Naomba utafakari kuhusu; Jambo la muhimu zaidi Duniani. Mungu akubariki sana. Tuombeane…!